-
Askofu Mkuu wa Ghana: Taswira ya Iran inaheshimiwa miongoni mwa Wakristo
Jan 05, 2025 07:53John Bonaventure Kwofie, Askofu Mkuu wa Ghana na Kiongozi wa Wakatoliki wa nchi hiyo ameeleza kuwa taswira ya Iran inaheshimiika na kuaminika miongoni mwa waumini wa Kikristo.
-
Askofu Mkuu Hanna: Ukandamizaji wa Israel dhidi ya Wakristo umeongezeka kutokana na kimya cha Wamagharibi
Oct 05, 2023 08:01Atallah Hanna, Askofu Mkuu wa Wakristo wa Orthodox huko Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu (Jerusalem), amesema kwamba Wakristo wa Quds wamo hatarini zaidi kuliko hapo awali.
-
Spika wa Bunge la Iran awatakia kheri Wakristo wanapoadhimisha Krismasi
Dec 25, 2022 10:44Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amewatumia ujumbe wa kheri Wakristo wa Iran na duniani kwa ujumla wakati huu wanapoadhimisha sherehe zao za Krismasi.
-
Abbas atahadharisha kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Wakristo wa Palestina
Dec 25, 2022 02:17Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa kamwe hawatauruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwalenga Wakristo katika ardhi za Palestina.
-
Papa Francis awaonya makasisi kuhusu hatari ya kutazama picha za ngono (ponografia)
Oct 27, 2022 13:16Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amewaonya makasisi na watawa kuhusu hatari ya kutazama video au picha za ngono (ponografia) mtandaoni akisema "kunadhoofisha moyo wa kipadre".
-
Raisi: Nabii Isa AS, nembo ya muqawama dhidi ya madhalimu
Jan 01, 2022 12:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaja Nabii Isa Masih (AS) kuwa ni nembo ya mapambano dhidi ya madhalimu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran atuma salamu za Krismasi kwa Wakristo duniani
Dec 25, 2021 09:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amewatumia salamu za kheri na fanaka Wakristo kote duniani hasa Wakristo Wairani kwa munasaba wa sikukuu ya Krismasi ya kukumbuka kuzaliwa Nabii Issa Masih AS.
-
Papa Francis atoa maagizo ya kupambana na ufisadi baina ya viongozi wa Vatican, maaskofu na makadinali
May 01, 2021 02:32Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani ameamuru kuwepo uwazi kamili wa kiuchumi na kifedha baina ya viongozi na wakurugenzi wa Vatican wakiwemo makadinali na kusimamiwa vyema utendaji wao.
-
Safari ya Papa Francis nchini Iraq, wito wa kuishi pamoja kwa amani wafuasi wa dini tofauti
Mar 06, 2021 11:00Katika miaka ya karibuni nchi ya Iraq imekuwa uwanja wa mashambulio na harakkati ya makundi ya kigaidi na kitakfiri hususan kundi la Daesh ambalo limesababisha madhara makubwa kwa nafsi na mali za wananchi wote wa nchi hiyo, Waislamu na Wakristo.
-
Kiongozi Muadhamu awaasa Wakristo washikamane na mema
Dec 25, 2019 07:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewanasihi wafuasi wa dini ya Kikristo wafungamane na vitendo vyema kama walivyoelekezwa na Nabii Issa Masih (AS).