Pars Today
Waloweiz wa Kizayuni wameuhujumu kwa mara nyingine Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) huku wakipata himaya ya askari wa utawala haramu wa Israel wakati wakitekeleza jinai hiyo.
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa zaidi ya nyumba mia tano za raia wa Palestina.
Makumi ya walowezi wa Kizayuni, wakiwa wanapata himaya ya wanajeshi wa utawala wa Israel wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
Walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kuuvunjia heshima msikiti huo ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa wito wa kuwekwa jina la walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina katika orodha ya magaidi.
Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni Israel vimeripoti kwamba jumla ya raia watano wa utawala huo wameangamizwa katika mashambulio ya makombora ya Wapalestina kuelekea vitongoji vya walowezi ndani ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia tena Msikiti wa al-Aqswa wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetahadharisha kuhusu njama inayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuyavamia na kuyakalia kikamilifu maeneo ya kandokando ya msikiti wa Al-Aqsa.
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia Msikiti wa al-Aqswa wakiwa wanasaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.