Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Walowezi

  • Wazayuni wa Israel washambulia Msikiti wa al Aqsa, wauvunjia heshima

    Wazayuni wa Israel washambulia Msikiti wa al Aqsa, wauvunjia heshima

    Oct 24, 2018 16:32

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameshambulia na kuvunjia heshima Msikiti mtukufu wa al Aqsa na kibla cha kwanza cha Waislamu wote duniani.

  • Umoja wa Ulaya wazidi kuisusia Israel, Mogherini akataa kuonana na walowezi wa Kizayuni

    Umoja wa Ulaya wazidi kuisusia Israel, Mogherini akataa kuonana na walowezi wa Kizayuni

    Sep 10, 2018 07:24

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amekataa ombi la kundi moja la walowezi wa Kizayuni waliotaka kuonana naye mjini Brussels, Ubalgiji.

  • Meja Jenerali Bagheri: Maadui ni walowezi Ghuba ya Uajemi

    Meja Jenerali Bagheri: Maadui ni walowezi Ghuba ya Uajemi

    Aug 30, 2018 02:26

    Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kutokana na uimara wa kikosi cha majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH), nchi maadui huwa zina woga mkubwa kabla ya kuingia katika Lango Bahari la Hormoz (la kusini mwa Iran) na katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, maadui hao wamelazimika kuheshimu sheria za kimataifa.

  • OIC yataka kusitishwa ujenzi wa vitongozi vya walowezi wa Kizayuni

    OIC yataka kusitishwa ujenzi wa vitongozi vya walowezi wa Kizayuni

    Aug 29, 2018 07:46

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa wito wa kusitishwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina.

  • Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqswa

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqswa

    Aug 27, 2018 14:53

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wamevamia Msikiti wa al-Aqswa wakiwa wanasaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.

  • China: Israel ikomeshe ujenzi wa vitongoji vya walowezi katika ardhi za Wapalestina

    China: Israel ikomeshe ujenzi wa vitongoji vya walowezi katika ardhi za Wapalestina

    Jul 26, 2018 14:17

    Mwakilishi wa China katika Umoja wa Mataifa ameutaka utawala haramu wa Israel uheshimu mikataba ya kimataifa na kukomesha ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina.

Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS