-
Mashambulio ya siku tatu mtawalia ya RSF yaua watu 450 Darfur, magharibi mwa Sudan
Apr 14, 2025 06:11Harakati ya Jeshi la Ukombozi wa Sudan, inayoongozwa na Minni Arko Minnawi (SLA-Minnawi), gavana wa jimbo la Darfur magharibi mwa nchi hiyo, imetangaza kuwa watu 450 wameuawa kutokana na mashambulizi ya siku ya tatu mtawalia yaliyofanywa na wapiganaji wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) katika mji wa El Fasher, makao makuu ya eneo hilo, na kwenye kambi za wakimbizi.
-
Waliouawa katika mapigano ya Sudan wapindukia 3,000
Jun 18, 2023 07:33Wizara ya Afya ya Sudan imetangaza kuwa, idadi ya watu waliouawa katika mapigano yanayoendelea kushuhudiwa nchini humo ni zaidi ya elfu tatu.
-
Kadhaa wauawa katika mapigano ya kikabila Sudan Kusini
Jun 09, 2023 01:24Watu wasiopungua 13 wameuawa katika mapigano mapya ya kikabila katika nchi ya Sudan Kusini.
-
17 wauawa katika mapigano baina ya al-Shabaab na jeshi la Somalia
May 30, 2023 16:18Kwa akali watu 17 wameuawa baada ya wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab kushambulia kambi ya jeshi katika mji wa Masagawa, katikati ya Somalia.
-
Zaidi ya 30 wauawa katika mapigano ya kikabila Cameroon
Jun 28, 2022 08:01Wanavijiji wasiopungua 30 wakiwemo wanawake na watoto wadogo wameuawa katika mapigano ya kikabila huko magharibi ya Cameroon.
-
255 wauawa na mamia wajeruhiwa katika tetemeko kubwa la ardhi lililoikumba Afghanistan
Jun 22, 2022 07:59Watu wasiopungua 255 wameuawa na wengine zaidi ya 200 wamejeruhiwa baada ya tetemeko kubwa la ardhi kuyakumba maeneo ya mbali kusini mashariki ya Afghanistan na nchi jirani ya Pakistan alfajiri ya kuamkia leo.
-
Watu 50 wauawa katika hujuma kanisani Nigeria, Rais Buhari alaani ukatili huo
Jun 06, 2022 07:51Watu zaidi ya 50 wakiwemo wanawake na watoto, wameuawa baada ya genge lenye silaha kushambulia kanisa moja la kikatoliki kaskazini magharibi mwa Nigeria wakati wa ibada ya Jumapili.
-
Watu 16 wauawa katika mapigano ya kikabila Darfur, Sudan
Mar 09, 2022 10:22Watu wasiopungua 16 wameuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika mapigano ya kikabila katika mkoa wa Darfur Magharibi nchini Sudan.
-
Watu 18 waaga dunia baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka Guinea
Mar 04, 2022 02:38Wachimba migodi wasiopungua 18 wamefariki dunia baada ya kuporomokewa na udongo kwenye mgodi wa dhahabu magharibi mwa Guinea.
-
Watu 16 wamepoteza maisha Cameroon katika mkasa wa moto
Jan 24, 2022 02:42Serikali ya Cameroon imetangaza habari ya kuaga dunia watu wasiopungua 16 katika mkasa wa moto uliozuka ndani ya klabu ya starehe katika mji mkuu wa nchi hiyo, Yaounde.