Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wameuawa

  • Makumi wauawa katika mkanyagano katika hafla ya kidini Liberia

    Makumi wauawa katika mkanyagano katika hafla ya kidini Liberia

    Jan 20, 2022 11:56

    Watu wasiopungua 29 wameaga dunia katika tukio la mkanyagano kwenye hafla ya waumini wa Kikristo viungani mwa mji mkuu wa Liberia, Monrovia.

  • Serikali: Watu waliouawa katika ghasia za Kazakhstan ni 225

    Serikali: Watu waliouawa katika ghasia za Kazakhstan ni 225

    Jan 16, 2022 07:56

    Ofisi ya Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Kazakshtan imesema watu 225 wakiwemo maafisa usalama 19 wameuawa katika machafuko ya hivi karibuni katika nchi hiyo ya Asia ya Kati.

  • Waliouawa katika ghasia za Kazakhstan wapindukia 160

    Waliouawa katika ghasia za Kazakhstan wapindukia 160

    Jan 09, 2022 13:31

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Kazakhstan imetangaza kuwa, watu 160 wakiwemo maafisa usalama wameuawa tangu kuanza kwa machafuko katika nchi hiyo ya Asia ya Kati wiki moja iliyopita.

  • Makumi wauawa katika maandamano ya fujo Kazakhstan

    Makumi wauawa katika maandamano ya fujo Kazakhstan

    Jan 06, 2022 13:32

    Makumi ya watu wameuawa katika makabiliano baina ya waandamanaji na maafisa usalama nchini Kazakhstan, huku maandamano ya ghasia yakichachamaa katika nchi hiyo ya Asia ya Kati.

  • 38 waaga dunia baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka Sudan

    38 waaga dunia baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka Sudan

    Dec 29, 2021 07:51

    Makumi ya watu wamefariki dunia baada ya kuporomokewa na udongo kwenye mgodi wa dhahabu nchini Sudan.

  • Raia 125 wauawa katika hujuma ya waasi kaskazini mwa Ethiopia

    Raia 125 wauawa katika hujuma ya waasi kaskazini mwa Ethiopia

    Sep 09, 2021 09:49

    Madaktari wa Ethiopia wamethibitisha kuwa raia wasiopungua 125 wameuawa katika shambulizi lililofanywa na wapiganaji wa kundi la TPLF huko kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Idadi ya waliouawa katika tetemeko la ardhi nchini Haiti yapindukia 1,200

    Idadi ya waliouawa katika tetemeko la ardhi nchini Haiti yapindukia 1,200

    Aug 16, 2021 07:37

    Idadi ya watu waliofariki dunia nchini Haiti kufuatia janga kubwa la tetemeko la ardhi lilioikumba nchi hiyo siku ya Jumamosi imeongezeka na kufikia karibu watu 1,300.

  • Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM): Karibu watu elfu moja wamekufa maji mwaka huu tu Bahari ya Mediterania

    Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM): Karibu watu elfu moja wamekufa maji mwaka huu tu Bahari ya Mediterania

    Jul 28, 2021 07:00

    Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, karibu wahajiri haramu elfu moja wamekufa maji tangu mwanzoni mwa mwaka huu katika maji ya Bahari ya Mediterania.

  • Waliouawa katika ghasia za Afrika Kusini wapindukia 330

    Waliouawa katika ghasia za Afrika Kusini wapindukia 330

    Jul 23, 2021 07:49

    Serikali ya Afrika Kusini imetangaza kuwa, idadi ya watu waliouawa katika ghasia zinazoendelea nchini humo imepindukia 300.

  • Muungano vamizi wa Saudia waua na kujeruhi raia 20 Yemen

    Muungano vamizi wa Saudia waua na kujeruhi raia 20 Yemen

    Jul 01, 2021 10:51

    Muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia umeua na kujeruhiwa raia wapatao 20 katika hujuma dhidi ya mkoa wa Sa'ada nchini Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS