-
Kadhaa wauawa katika maandamano ya kushinikiza utawala wa kiraia Chad
Apr 27, 2021 13:07Kwa akali watu wawili wameuawa huku wengine 27 wakijeruhiwa katika maandamano ya ghasia yaliyozuka nchini Chad, kushinikiza utawala wa kiraia. Baraza la Kijeshi lilitangaza kuchukua hatamu za uongozi wa nchi kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby.
-
23 wauawa katika mauaji mengine ya halaiki Mashariki mwa Congo DR
Apr 01, 2021 03:02Afisa mmoja wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa watu waliokuwa na silaha ambao wanadhaniwa kuwa ni wapiganaji wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) kutoka Uganda wameua raia wasiopungua 23 huko Mashariki mwa nchi hiyo.
-
UN: Zaidi ya 200 wameuawa katika mashambulio ya wabeba silaha DRC
Mar 20, 2021 09:36Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya 200 wameuawa katika mashambulio ya magenge ya wabeba silaha katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tokea Januari mwaka huu hadi sasa.
-
Jeshi la DRC laua wanamgambo 16 kaskazini mwa nchi
Mar 02, 2021 03:15Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza habari ya kuua wanamgambo 16 katika makabiliano makali baina ya pande mbili hizo huko kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Ripoti: Polisi ya Marekani imeua makumi ya Wamarekani weusi tokea 2015
Jan 26, 2021 07:25Uchunguzi mpya umefichua kuwa, makumi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika wameuawa na polisi ya nchi hiyo tokea mwaka 2015.
-
Ethiopia yasema imeua wapiganaji 15 wa eneo la Tigray
Jan 12, 2021 03:36Jeshi la Ethiopia limetangaza habari ya kuua wanachama wengine 15 wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray TPLF, ambacho kilikuwa chama tawala katika eneo la Tigray, kaskazini mwa nchi.
-
Jeshi la Ethiopia laua viongozi kadhaa wa TPLF eneo la Tigray
Jan 09, 2021 02:40Viongozi wanne wa Harakati ya Ukombozi ya Wananchi wa Tigray (TPLF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni ya vikosi vya jeshi la Ethiopia.
-
Watu kadhaa wauawa na kujeruhiwa katika maandamano ya upinzani Zambia
Dec 24, 2020 08:12Kwa akali watu wawili wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya wapinzani wa Zambia, kuonyesha uungaji mkono wao kwa kinara wao, Hakainde Hichilema.
-
UN: Zaidi ya watu 1,000 wameuawa nchini Sudan Kusini
Nov 18, 2020 02:30Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya elfu moja wameuawa katika mapigano ya kikabila nchini Sudan Kusini katika kipindi cha miezi sita iliyopita.
-
Upinzani: Watu 90 wameuawa katika ghasia za kabla ya uchaguzi Guinea
Oct 13, 2020 03:42Kundi moja la kiraia limesema makumi ya watu wameuawa nchini Guinea katika maandamano ya machafuko ya kabla ya uchaguzi wa rais utakaofanyika Oktoba 18 mwaka huu.