-
Watu 30 wauawa katika mashambulizi ya wanamgambo nchini Ethiopia
Sep 18, 2020 08:07Watu wasiopungua 30 wameuawa katika mashambulizi ya wanamgambo waliobeba silaha katika eneo la Benishangul-Gumuz, magharibi mwa Ethiopia.
-
30 wauawa katika mapigano baina ya al-Shabaab na wanakijiji Somalia
Sep 06, 2020 07:35Makumi ya watu wameuawa katika makabiliano makali baina ya wanamgambo wa al-Shabaab na wanakijiji katikati mwa Somalia.
-
Watu 15 wauawa katika shambulizi la wabeba silaha Burundi
Aug 25, 2020 03:38Kwa akali watu 15 wameuawa baada ya watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia wakazi wa eneo moja huko kusini mwa Burundi.
-
Watu wengine kadhaa wauawa katika mashambulio ya anga ya Saudi Arabia huko Yemen
Aug 05, 2020 08:03Watu wasiopungua wanne wameuawa na wengine wanane kujeruhiwa kufuatia mashambulio ya anga ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabiia huko Yemen.
-
Watu 4 wauawa katika maandamano ya ghasia Kongo DR
Jul 10, 2020 07:28Watu wanne wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika maandamano ya kupinga uteuzi wa mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Askari polisi na magaidi 7 wauawa kwenye makabiliano Misri
Apr 15, 2020 08:06Afisa wa polisi wa Misri na washukiwa saba wa genge la kigaidi wameuawa katika makabiliano ya risasi baina ya pande mbili hizo jijini Cairo.
-
Makumi wauawa katika ghasia za kabla ya uchaguzi Burundi
Feb 26, 2020 13:44Serikali ya Burundi imekiri kuua watu 22 ndani ya siku chache zilizopita, kwa tuhuma za kufanya 'makosa' yanayohusishwa na uchaguzi mkuu ujao.
-
Watu 23 wapoteza maisha wakigombania chakula Niger
Feb 18, 2020 07:57Kwa akali watu 23 wameuawa katika mkanyagano wa kugombania chakula cha msaada nchini Niger.
-
Kundi la Jenerali Haftar laua askari 14 wa serikali ya mwafaka wa kitaifa ya Libya
Sep 20, 2019 14:54Askari 14 wa vikosi vya serikali ya mwafaka wa kitaifa ya Libya wameuliwa katika mashambulio ya anga yaliyofanywa na vikosi vinavyojiita Jeshi la Taifa la Libya vinavyoongozwa na Jenerali mstaafu Khalifa Haftar.
-
Magaidi wa Boko Haram waua wanajeshi 9 wa Nigeria
Sep 12, 2019 11:52Magaidi wa kundi la Boko Haram wameshambulia kituo cha kijeshi kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuwaua wanajeshi tisa.