-
Watu kadhaa wauawa katika maombolezo ya siku ya Ashura nchini Nigeria
Sep 10, 2019 14:37Waislamu kadhaa waliokuwa katika maombolezo ya Siku ya Ashura (tarehe 10 Muharram) wakikumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) wameuawa leo kwa kupigwa risasi nchini Nigeria.
-
Watu 16 wauawa katika mashambulio dhidi ya vijiji kadhaa nchini Nigeria
Aug 21, 2019 07:51Watu wasiopungua 16 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya watu wenye silaha kushambulia vijiji kadhaa katiika jimbo la Katsina kaskazini mwa Nigeria.
-
Ugonjwa wa surua waua maelfu ya watu Congo DR
Aug 18, 2019 07:51Shirika la Madatari Wasio na Mpaka (MSF) limeripoti kuwa zaidi ya watu 2700 wameaga dunia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na ugonjwa wa surua.
-
Watu wasiopungua 37 wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Chad
Aug 10, 2019 04:10Watu wasiopungua 37 wameuawa nchini Chad na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya kuzuka mapigano mapya ya kikabila.
-
Save the Children: Zaidi ya watoto 500 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa Ebola huko DRC
Aug 08, 2019 08:13Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Watoto la Save the Children limetangaza kuwa, zaidi ya watoto 500 wamekufa kwa maradhi ya Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, tangu ugonjwa huo ulipoanza kushuhudiwa nchini humo mwaka mmoja uliopita.
-
Watu elfu moja wauawa Libya, Misri na Imarati zatuhumiwa kushambulia wahajiri
Jul 06, 2019 04:07Shirika la Umoja wa Mataifa la Wahajiri limetangaza kuwa, tangu mwezi Aprili mwaka huu hadi hivi sasa, karibu watu elfu moja wameshauawa nchini Libya.
-
UN: Watoto 7500 wa Kiyemeni wameuawa au kupata ulemavu
Jun 29, 2019 17:03Umoja wa Mataifa umeashiria hali mbaya ya kibinadamu inayoikabili Yemen hivi sasa na kueleza kuwa watoto zaidi ya 7,500 wameuawa au kujeruhiwa nchini humo.
-
Watu 38 wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Mali
Jun 19, 2019 03:04Watu wasiopungua 38 wameuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika mapigano ya kikabila nchini Mali.
-
Daesh yadai kuhusika na mauaji ya Congo DR
Jun 05, 2019 13:37Kundi la kigaidi la Daesh limedai kuwa ndilo lililohusika na shambulizi lililoua watu kadhaa katika mkoa ulioathiriwa na ugonjwa wa Ebola huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Askari 8 wa serikali wauawa Sinai Misri
Jun 05, 2019 11:28Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imetangaza habari ya kuuawa askari wanane wa serikali katika mkoa wa Sinai wa kaskazini mwa nchi hiyo.