-
27 waua katika ufyatuaji risasi Marekani
Apr 29, 2019 14:29Watu wasiopungua 91 wameuawa au kujeruhiwa katika matukio 72 ya ufyatuaji risasi katika masaa 24 yaliyopita katika maeneo tofauti ya Marekani
-
Askari 10 wauawa katika shambulio dhidi ya kambi ya jeshi la Mali
Apr 21, 2019 13:46Watu wenye silaha wameua askari wasiopungua 10 wa jeshi la Mali baada ya kushambulia kambi moja ya jeshi hilo mapema leo katika eneo la Guire katikati mwa nchi.
-
Spika wa Bunge Tobrok Libya amuunga mkono Haftar, watu 121 wauawa, 516 wajeruhiwa
Apr 14, 2019 16:48Spika wa Bunge la Libya ametangaza kumuunga mkono Jenerali Khalifa Haftar huku mapigano yakiendelea katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
Watu 20 wauawa na 'watu wenye sare za kijeshi' Nigeria
Apr 09, 2019 14:36Kwa akali watu 20 wameuawa baada ya watu waliokuwa wamevalia magwanda ya kijeshi kushambulia kijijini kimoja katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria.
-
Watu 60 wameuawa katika ghasia na maandamano nchini Sudan
Apr 07, 2019 07:12Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Physicians for Human Rights limesema kuwa, watu wasiopungua 60 wameuliwa na maafisa usalama nchini Sudan katika kipindi cha miezi mitatu ya ghasia na maandamano dhidi ya serikali.
-
Zaidi ya askari 70 wa muungano vamizi wa Saudia wameangamizwa kwa kombora la Wayemen
Mar 20, 2019 16:17Katika shambulizi la kombora lililotekelezwa jana usiku na jeshi la Yemen kwa kushirikiana na muqawama wa wananchi kuelekea kusini magharibi mwa Saudia, zaidi ya askari 70 wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudia, wameangamizwa.
-
UN: Kimbunga na mafuriko yameua watu 10 Msumbiji
Mar 12, 2019 07:40Kwa akali watu 10 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Msumbiji.
-
Raia 17 wauawa katika shambulizi jipya lililotokea katikati ya Mali
Feb 27, 2019 16:26Duru za usalama nchini Mali zimetangaza habari ya kuuawa raia 17 katika eneo la katikati mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Raia 14 wauawa katika shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria
Feb 21, 2019 02:55Raia wasiopungua 14 wameuawa nchini Nigeria na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Tundu Lissu atakiwa na Waziri Lugola kurejea Tanzania ili kusaidia upelelezi
Feb 14, 2019 08:11Wakati Tundu Lissu Mbunge wa upinzani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania akiendelea na ziara zake nchini Marekani, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania Kangi Lugola amemtaka mwanasiasa huyo kurejea nchini ili kusaidia upelelezi wa tukio lake la kushambuliwa kwa risasi.