-
Boko Haram: Tumeua askari 30 kaskazini mashariki mwa Nigeria
Jan 28, 2019 08:10Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram limedai kuwa wanachama wake wametekeleza shambulizi katika eneo la kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuua askari 30 wa nchi hiyo.
-
UN: 13 wauwa kabla ya kuanza mazungumzo ya kusaka amani CAR
Jan 23, 2019 07:48Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa watu 13 wameuawa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, siku chache kabla ya kuanza duru mpya ya mazungumzo ya amani kati ya serikali na makundi ya upinzani.
-
13 Wauawa katika mapigano mapya nchini Libya
Jan 19, 2019 15:39Wizara ya Afya ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya imetangaza habari ya kuuawa watu 13 wengine katika mapigano mapya yaliyotokea kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
Mapigano ya watu wenye silaha yashtadi kaskazini mashariki mwa Nigeria
Jan 19, 2019 07:33Makundi yenye silaha yamezidisha mashambulizi yao nchini Nigeria ambapo katika kipindi cha wiki tatu zilizopita zaidi ya askari 100 wa nchi hiyo wameuawa au kutekwa nyara.
-
Makumi ya watu wauawa wakipigania dhahabu nchini Chad
Jan 15, 2019 02:42Makumi ya watu wameuawa katika mapigano baina ya wanamgambo wa Chad na Sudan katika mgodi wa dhahabu kaskazini mwa Chad.
-
Watu 37 wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Mali
Jan 02, 2019 15:09Kwa akali raia 37 wa kabila la Fulani wameuawa katika mapigano ya kikabila katika eneo la Mopti nchini Mali.
-
Askari polisi 10 waviziwa na kuuawa kaskazini mwa Burkina Faso
Dec 28, 2018 15:57Maafisa 10 wa polisi ya Burkina Faso wameuawa katika hujuma dhidi yao katika eneo la Toeni, kaskazini magharibi mwa nchi karibu na mpaka wa Mali.
-
Wanajeshi 14 wauawa katika shambulio la Boko Haram nchini Nigera
Dec 26, 2018 07:24Wanajeshi wasiopungua 14 wameuawa nchini Nigeria wameuawa kufuatia shambulio la kkundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Yobe kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Magaidi 14 wauawa kaskazini mwa Misri
Dec 24, 2018 08:01Maafisa usalama wa Misri wametangaza habari ya kuuawa magaidi 14 katika mkoa wa Sinai Kaskazini wa kaskazini mwa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Ripoti: Wanahabari 80 wameuawa mwaka huu 2018
Dec 18, 2018 15:39Jumuiya ya Maripota Wasio na Mipaka (RSF) imesema waandishi wa habari na wafanyakazi wengine katika sekta ya upashaji habari 80 wameuawa mwaka huu 2018 katika sehemu mbalimbali duniani.