-
Wito wa Iran kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds
Jun 30, 2016 03:01Sambamba na kukaribia Siku ya Kimataifa ya Quds itakayoadhimishwa kote duniani kesho Ijumaa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali jinai za kutisha zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Misri yafungua tena kivuko cha Rafah kwa muda
Jun 29, 2016 09:12Misri imefungua tena kivuko cha Rafah, njia pekee inayotumiwa kufikishia misaada ya dharura kwa Wapalestina karibu milioni mbili walio chini ya mzingiro huko Ukanda Gaza tangu mwaka 2007 na kusema kuwa eneo hilo la mpakani litasalia wazi hadi Julai 4.
-
Wapaestina wakasirishwa na kufufuliwa uhusiano wa Israel na Uturuki
Jun 28, 2016 02:49Wananchi wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel wameghadhabishwa na hatua ya Uturuki kuhuisha uhusiano wake wa kidiplomasia na utawala huo, baada ya kuukatiza zaidi ya miaka mitano iliyopita.
-
Kushadidi hatua zisizo za kiutu za Israel dhidi ya Wapalestina
Jun 20, 2016 23:19Utawala wa Kizayuni wa Israel umeanza kuchukua hatua kali zisizo za kiutu dhidi ya Wapalestina ili kufikia malengo yake ya kujipanua.
-
UN: Tunasikitishwa na kuongezeka jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
May 21, 2016 11:28Umoja wa Mataifa umeelezea kusikitishwa kwake na ongezeko la jinai za Israel dhidi ya Wapalestina.
-
UNICEF: Israel imeua watoto 25 wa Kipalestina katika muda wa miezi 3
May 15, 2016 23:26Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema watoto 25 wa Kipalestina waliuawa katika kipindi cha miezi mitatu ya mwisho ya mwaka 2015, wakati ilipoanza Intifadha ya Quds dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wapalestina waandamana Ukanda wa Gaza kulaani mzingiro wa Israel
May 08, 2016 08:37Mamia ya wananchi wa Palestina wameingia mabarabarani kufanya maandamano ya kulaani mzingiro wa kibaguzi wa takriban mwongo mmoja uliowekwa na Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Wapalestina wengine watatu wauliwa shahidi Al-Khalil
Mar 14, 2016 12:49Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi vijana watatu wa Kipalestina karibu na mji wa Al-Khalil katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine wavunja makubaliano ya kusimamisha vita na Wapalestina
Mar 12, 2016 11:54Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wamevunja makubaliano ya kusimamisha vita kati yao na Wapalestina kwa kuwashambulia kwa risasi wavuvi wa Kipalestina katika Ukanda wa Ghaza.