Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waziri Mkuu

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na Waziri Mkuu wa Japan mjini Tokyo

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na Waziri Mkuu wa Japan mjini Tokyo

    May 16, 2019 09:49

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amekutana na Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe mjini Tokyo ambapo wamejadili uhusiano wa nchi mbili, masuala muhimu ya kieneo na kimataifa na hasa kuhusu mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, JCPOA.

  • Rais Rouhani: Ushirikiano wa Iran na Iraq utastawi zaidi

    Rais Rouhani: Ushirikiano wa Iran na Iraq utastawi zaidi

    Apr 06, 2019 14:52

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amehimiza kustawishwa zaidi uhusiano wa nchi yake na Iraq katika pande zote.

  • Sudan yaendelea kugubikwa na maandamano ya kumtaka Rais al-Bashir aachie madaraka

    Sudan yaendelea kugubikwa na maandamano ya kumtaka Rais al-Bashir aachie madaraka

    Mar 22, 2019 08:19

    Maandamano ya kupinga serikali ya Rais Omar Hassan al-Bashir wa Sudan yameendelea kushuhudiwa katikak miji mbalimbali ya nchi hiyo ukiwemo mji mkuu Khartoum.

  • Imarati yashutumiwa kufanya njama za kurejesha utawala wa kidikteta Tunisia

    Imarati yashutumiwa kufanya njama za kurejesha utawala wa kidikteta Tunisia

    Mar 02, 2019 02:47

    Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia amefichua kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unafanya njama za kufelisha juhudi za kuimarisha demokrasia nchini humo kupitia hilo za kuyafelisha mapinduzi ya wananchi wa nchi hiyo na kuurejesha madarakani utawala wa kidikteta.

  • Waziri Mkuu wa Uingereza anusurika kura ya kutokuwa na imani naye, Brexit matatani

    Waziri Mkuu wa Uingereza anusurika kura ya kutokuwa na imani naye, Brexit matatani

    Jan 18, 2019 03:51

    Kadhia ya kuondoka Uingereza katika Umoja wa Ulaya maarufu kama Brexit, hivi sasa ni suala muhimu zaidi la kisiasa kwa Waingereza na kwa Umoja wa Ulaya. Pamoja na kuwepo mapatano yaliyofikiwa mwishoni mwa mwezi Novemba 2018 baina ya Uingereza na Umoja wa Ulaya kuhusu Brexit, lakini Theresa May Waziri Mkuu mhafidhina wa Uingereza alishindwa vibaya bungeni siku ya Jumanne kuhusu kadhia hiyo.

  • Waziri Mkuu wa Ufaransa akiri kupuuzwa matakwa ya wananchi

    Waziri Mkuu wa Ufaransa akiri kupuuzwa matakwa ya wananchi

    Dec 17, 2018 08:03

    Kufuatia maandamano ya wananchi wa Ufaransa wanaolalamikia matatizo ya kiuchumi na kuupinga mfumo wa kibepari nchini humo, Waziri Mkuu wa nchi hiyo amesema kuwa serikali imefanya makosa na haijatoa uzito wa kutosha kwa matakwa ya wananchi.

  • Waziri Mkuu wa Uingereza katika jitihada za kusalia madarakani

    Waziri Mkuu wa Uingereza katika jitihada za kusalia madarakani

    Nov 18, 2018 14:31

    Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza kuwa mazungumzo kati ya London na Brussels yatakuwa magumu zaidi iwapo Uingereza itambadili Waziri Mkuu wake.

  • Changamoto zinazomkabili Adil Abdul-Mahdi kwa ajili ya kuunda baraza la mawaziri nchini Iraq

    Changamoto zinazomkabili Adil Abdul-Mahdi kwa ajili ya kuunda baraza la mawaziri nchini Iraq

    Oct 09, 2018 12:01

    Baada ya Adil Abdul-Mahdi kuchaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa Iraq, tayari kumeanza mazungumzo na mashauriano yenye lengo la kuunda baraza la mawaziri nchini humo.

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Malalamiko ya wananchi wa Basra ni ya haki

    Waziri Mkuu wa Iraq: Malalamiko ya wananchi wa Basra ni ya haki

    Sep 08, 2018 14:33

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, anakubaliana na mpango wa kuungalia mkoa wa Basra kwa mtazamo maalumu katika baadhi ya vipengee vinavyohusiana na utekelezaji wa bajeti na maamuzi ya serikali.

  • Waziri Mkuu wa Czech: Wahajiri Waislamu ni tishio kwa ustaarabu wa Ulaya

    Waziri Mkuu wa Czech: Wahajiri Waislamu ni tishio kwa ustaarabu wa Ulaya

    Sep 03, 2018 07:52

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Czech ametoa matamshi ya kiuadui dhidi ya wahajiri Waislamu kwa kusema kuwa watu hao ni tishio kwa ustaarabu wa Ulaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS