-
Mazungumzo ya Dakta Zarif na Waziri Mkuu wa Pakistan
Aug 31, 2018 23:40Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Imrah Khan Waziri Mkuu wa Pakistan aliyechaguliwa hivi karibuni.
-
Waziri Mkuu wa Tunisia akataa kujiuzulu
Jul 25, 2018 22:35Waziri Mkuu wa Tunisia amekataa ombi la Rais wa nchi hiyo aliyemtaka ajiuzulu.
-
Gazeti la Kizayuni lafichua kikao cha Mohammad Bin Salman na Netanyahu
Jun 23, 2018 09:37Gazeti la utawala haramu wa Kizayuni la Maariv limefichua kikao cha Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel nchini Jordan.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Iraq iliyo imara haitaruhusu DAESH warudi tena nchini
Apr 18, 2018 22:32Waziri Mkuu wa Iraq Haidar al-Abadi amesisitiza kuwa, kwa kutegemea umoja na mshikamano wake na uwezo wa wapiganaji na wanachi wake, Iraq haitaruhusu magaidi wa DAESH (ISIS) warudi tena nchini humo.
-
Hatimae Abiy Ahmed Ali awa rasmi waziri mkuu wa Ethiopia
Apr 02, 2018 21:54Abiy Ahmed Ali aliyekuwa anakaimu nafasi ya waziri mkuu wa Ethiopia baada ya maandamano ya wananchi kumlazimisha kujiuzulu waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Hailemariam Desalegn, jana Jumatatu aliapishwa kuwa waziri mkuu rasmi wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Umashuhuri wa Rais na Waziri Mkuu wa Ufaransa wazidi kuporomoka
Mar 18, 2018 04:37Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa Ufaransa yanaonyesha kupungua uungaji mkono wa wananchi kwa Rais na Waziri Mkuu wa nchi hiyo.
-
Al Abadi: Ugaidi umemalizika kijeshi Iraq, sasa ni vita vya kifikra
Mar 10, 2018 11:53Waziri Mkuu wa Iraq amesema kwa mtazamo wa kijeshi, ugaidi umeshindwa na kumalizika nchini Iraq na sasa hatua inayofuata ni kukabiliana na fikra za kigaidi.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Fatwa ya kihistoria ya Ayatullah Sistani ndiyo siri ya ushindi dhidi ya Daesh
Mar 03, 2018 23:09Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, fatwa ya kihistoria na ya mahala pake iliyotolewa na Ayatullah Sistani, marja'a mkubwa wa Waislamu wa Kishia nchini Iraq wakati nchi hiyo ilipokuwa katika hatari ya kumezwa kikamilifu na magaidi, ilikuwa na umuhimu mkubwa.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia ajiuzulu baada ya machafuko ya ndani
Feb 15, 2018 12:46Waziri Mkuu wa Ethiopia amejiuzulu nyadhifa zake zote mbili kama waziri mkuu na Mwenyekiti wa chama tawala.
-
Haider al-Abadi: Uchaguzi wa bunge la Iraq hautaahirishwa na utafanyika kama ilivyopangwa
Jan 17, 2018 04:22Waziri Mkuu nchini Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa uchaguzi wa bunge la nchi hiyo utafanyika katika tarehe iliyopangwa ya 12 Mei mwaka huu na kwamba kamwe hautaahirishwa.