-
Iraq yatangaza rasmi kuangamizwa kundi la kigaidi la ISIS nchini humo
Dec 09, 2017 15:10Waziri Mkuu wa Iraq leo ametangaza rasmi kumalizika kwa mafanikio vita dhidi ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh nchini humo.
-
Waziri Mkuu wa Congo-Brazzaville ajiuzulu, matatizo ya kiuchumi yatajwa
Aug 18, 2017 04:10Waziri Mkuu wa Congo-Brazzaville ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, huku mgogoro wa kiuchumi unaoikabili nchi hiyo ukitajwa kuwa sababu ya kujiuzulu kwake.
-
Haider al-Abadi: Hashdu sh-Sha'abi Iraq haitovunjwa, itaendelea kuwepo
Aug 06, 2017 03:09Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa, harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi kamwe haitovunjwa na itaendelea kuwepo.
-
Radiamali ya al Abadi kwa madai ya baadhi ya taasisi dhidi ya wanajeshi wa nchi hiyo
Jul 13, 2017 15:03Waziri Mkuu wa Iraq amekadhibisha madai ya baadhi ya taasisi za kimataifa eti za kutetea haki za binadamu zinazoeneza uvumi kuwa vikosi vya Iraq vilivunja haki za binadamu katika oparesheni ya kuukomboa mji wa Mosul.
-
Mke wa Waziri Mkuu Mpya wa Lesotho auawa kwa kupigwa risasi
Jun 15, 2017 15:26Mke wa Tom Thabane, Waziri Mkuu Mpya wa Lesotho alipigwa risasi na mtu asiyejulikana jana jioni masaa machache baada ya mumewe kuapishwa, kitendo kilichozidisha wasiwasi kuhusu uwezekano wa kuibuka wimbi jipya la ghasia za kisiasa katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
Kutangazwa Waziri Mkuu Mpya wa Kongo katika kutekeleza makubaliano ya kisiasa
Apr 08, 2017 11:13Hatimaye Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amemteua Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo baada ya kufanyika mashauriano ya kina na kuchelewa kuchukuliwa hatua hiyo.
-
Iran yakaribishwa kuwekeza katika usindikaji bidhaa Tanzania
Mar 18, 2017 15:50Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeikaribisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwekeza katika sekta ya viwanda nchini humo, hususan katika viwanda vya kusindika bidhaa.
-
Rais Rouhani ampokea rasmi Waziri Mkuu wa Sweden
Feb 11, 2017 07:42Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran muda mchache uliopita amempokea rasmi katika ikulu ya Saad Abad mjini Tehran Stefan Löfven Waziri Mkuu wa Sweden aliyekuja hapa nchini kwa safari rasmi ya kikazi.
-
Mpinzani ateluwa kuwa Waziri Mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Nov 18, 2016 04:36Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amemteua mbunge wa kambi ya upinzani kuwa waziri mkuu baada ya mapatano baina ya serikali na baahdi ya makundi ya upinzani.
-
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ajiuzulu
Nov 14, 2016 15:09Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Augustin Matata Ponyo amesema leo kuwa amejiuzulu wadhifa huo sambamba na mwafaka wa kisiasa uliofikiwa nchini humo ambao unamuongezea muda wa kubakia madarakani Rais Joseph Kabila.