-
Vifo vya corona vyapungua kwa asilimia 70 nchini Iran
Jan 07, 2021 04:12Waziri wa Afya wa Iran ametangaza kuwa vifo vinavyosababishwa na virusi vya corona vimepungua kwa asilimia 70 hapa nchini katika kipindi cha siku 45 zilizopita.
-
Waziri wa Afya wa Iran asisitiza ulazima wa kukabiliana na vikwazo haramu vya Marekani
Sep 08, 2020 08:40Waziri wa Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu wa Iran ametaka kutolewa wito wa kimataifa wa kuhitimishwa vikwazo vilivyo kinyume cha sheria na vya upande mmoja vya Marekani.
-
Mtoto mmoja hufariki dunia nchini Yemen kila baada ya dakika tano
Jun 03, 2020 03:02Msemaji wa Wizara ya Afya ya Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen, amesema kuwa, mtoto mmoja hufariki dunia nchini Yemen kila baada ya dakikat tano kutokana na utapiamlo na magonjwa mengine ya kuambukiza.
-
Iran yaiandikia barua WHO kulalamikia vikwazo vya kidhalimu vya Marekani
Nov 30, 2019 04:05Waziri wa Afya wa Iran amemuandikia barua Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) akimtaka asinyamaze kimya mbele ya vikwazo vya Marekani dhidi ya watu wa Iran katika kununua dawa, chakula na bidhaa za kitiba.
-
Jeshi la Lebanon latahadharisha kuhusu fitina na njama mpya za MOSSAD
Oct 29, 2019 08:20Jeshi la Lebanon limetoa taarifa likitangaza kuwa, ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Facebook unaofanya kazi chini ya usimamizi wa shirika la ujasusi la Israel MOSSAD kwa kutumia jina la "Jamal Fa" unatuma maombi na kutoa pesa kwa baadhi ya raia wa Lebanon.
-
Wayemeni elfu 20 hufariki dunia kila mwaka kwa saratani, sababu, mashambulizi ya Saudia
Jun 25, 2019 22:23Waziri wa Afya wa Yemen ametangaza kuwa, raia elfu 20 hufariki dunia kila mwaka kwa maradhi ya saratani sambamba na mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia na waitifaki wake dhidi ya taifa hilo.
-
Wapalestina zaidi wauawa shahidi katika Maandamano ya Kurejea, Israel yaitangaza Gaza eneo la kijeshi
Oct 06, 2018 00:21Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa Wapalestina wasiopungua 195 wameshauawa shahidi hadi sasa na wengine zaidi ya 21,600 wamejeruhiwa tangu yalipoanza Maandamano ya Haki ya Kurejea katika mpaka wa Ukanda wa Gaza.
-
Madaktari wafanya tena mgomo nchini Zimbabwe
Feb 16, 2017 04:00Madaktari, wauguzi na wahudumu wengine wa afya wameanza mgomo wa nchi nzima kushinikiza nyongeza ya mishahara na kuboreshwa mazingira ya kufanyia kazi.
-
Mgomo wa madaktari Kenya waingia siku ya 3, 20 waaga dunia
Dec 07, 2016 03:59Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mgomo wa madaktari na wauguzi katika hospitali za umma nchini Kenya imeongezeka na kufikia watu 20.