-
Grossi asisitiza nafasi ya diplomasia katika suala la nyuklia la Iran
Apr 17, 2025 12:43Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), aliwasili Tehran Jumatano, Aprili 16, ambapo amekutana na kufanya mazungumzo na Sayyid Abbas Araqchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, na Mohammad Eslami, Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran.
-
Wall Street Journal: Trump anahaha kutaka kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Iran
Apr 05, 2025 02:35Gazeti la Marekani la Wall Street Journal limewanukuu maafisa wa nchi hiyo na kuripoti kuwa, Washington inajaribu kutoa mashinikizo ili iweze kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Iran kuhusiana na kadhia ya nyuklia.
-
Waziri Mkuu wa Canada: Hatimaye Trump ataonyesha heshima kwetu na atataka mazungumzo
Mar 22, 2025 11:11Waziri Mkuu wa Kanada Mark Carney amesema mazungumzo mapana ya kibiashara baina ya nchi yake na Marekani hayatafanyika mpaka pale Trump atakapoonyesha heshima kwa uhuru na mamlaka ya kujitawala ya Canada.
-
Iran: Kumetolewa wazo jipya la kutatua masuala ya nyuklia na IAEA
Mar 13, 2025 09:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametangaza kuwa, Tehran inalichunguza wazo jipya la kutatua masuala ya nyuklia ya Iran kati ya Tehran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.
-
Russia kushirikiana na US kwenye faili la nyuklia la Iran
Mar 10, 2025 11:24Russia imeeleza nia ya kushirikiana na Marekani katika kushughulikia masuala ya Asia Magharibi, ikiwa ni pamoja na mradi wa nyuklia wa Iran, ikizingatiwa kuwa uhusiano wa Moscow na Washington unazidi kuimarika.
-
Iran: Haitatokea katu kufanywa mazungumzo ya kuufumua mpango wetu wa nyuklia
Mar 10, 2025 03:08Ofisi ya Uwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imetangaza kwamba ikiwa lengo la kutaka kufanya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ni "kuufumua mpango wa amani wa nyuklia wa Iran," mazungumzo kama hayo hayatafanyika katu.
-
Afrika Kusini kugeukia Russia, Iran kwenye mradi wake wa nyuklia?
Feb 18, 2025 07:32Afrika Kusini imesema huenda itashirikiana na Russia au Iran katika juhudi za kupanua uwezo wake wa nishati ya nyuklia.
-
Pezeshkian: Silaha za nyuklia hazina nafasi katika doktrini ya Jamhuri ya Kiislamu
Feb 07, 2025 02:54Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema nchi yake haifuatilii vita wala silaha za nyuklia, kwani mafundisho ya Jamhuri ya Kiislamu yanakataa mauaji ya watu wasio na hatia kwa hali yoyote.
-
Muhusika wa faili la nyuklia la Iran: Tehran inatetea kwa nguvu zote mpango wake wa amani wa nyuklia
Feb 04, 2025 08:34Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na muhusika wa faili la nyuklia la Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatetea kwa nguzu zote mpango wake wa nyuklia unaotekelezwa kwa malengo ya kiraia.
-
CIA yakiri kwamba mradi wa nyuklia wa Iran ni wa amani
Jan 12, 2025 03:03Mkuu wa shirika la kijasusi la Marekani (CIA) amekiri kwamba mradi wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa kiraia na hakuna ushahidi wowote unaoonesha kuwa mradi huo umeelekea upande wa kijeshi.