-
Zarif aonya kuhusu kuibuliwa migogoro zaidi Mashariki ya Kati
Nov 10, 2017 11:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif ameonya kuhusu matokeo mabaya ya uchochezi zaidi wa migogoro katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Zarif asisitiza mpango wa amani wa Iran wa kutatua mgogoro wa Yemen
Nov 10, 2017 03:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena ameutaja mpango wa amani wenye vipengee vinne uliopendekezwa na Iran kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Yemen kuwa ndio njia pekee inayoweza kuhitimisha mapigano nchini humo.
-
Zarif: Marekani inajaribu kupotosha ukweli kuhusu mashambulizi ya Septemba 11
Nov 03, 2017 10:47Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani inafanya juu chini kupotosha ukweli wa mambo kuhusu mashambulio ya kigaidi ya Septemba 11 mwaka 2001.
-
Iran na Niger zasisitiza kukuza uhusiano wa kisiasa na kupambana na ugaidi
Oct 27, 2017 04:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Rais wa Niger wamesisitiza suala la kukuza uhusiano wa kisiasa kati ya pande mbili na kupambana na ugaidi.
-
Zarif aonana na Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda mjini Kampala + Picha
Oct 25, 2017 12:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonana na Rais Yowezi Kaguta Museveni wa uganda mjini Kampala na pande hizo mbili zimejadiliana masuala ya pande mbili na ya kieneo na kimataifa.
-
Dakta Zarif: Wairani wanaoishi nje ya nchi ni rasilimali muhimu kwa ajili ya Iran
Oct 25, 2017 01:07Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wairani walioko nje ya nchi ni rasilimali muhimu kwa ajili ya taifa hili.
-
Kamanda wa jeshi la Marekani: Tillerson hajui chochote kuhusu masuala ya Iraq
Oct 24, 2017 10:28Kamanda wa zamani wa jeshi la Marekani nchini Iraq, Mark Hertling amesema kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Rex W. Tillerson, hana ufahamu kuhusiana na masuala magumu ya Iraq.
-
Zarif: Upayukaji wa Trump hauwezi kutia doa istikama ya wananchi wa Iran
Oct 24, 2017 04:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alisema jana usiku mbele ya Wairani wanaoishi Afrika Kusini kwamba, upayukaji wa rais wa Marekani Donald Trump hauwezi kutia doa hata chembe katika ulinzi, muqawama na heshima ya wananchi wa Iran.
-
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni Fakhari ya Taifa la Iran
Oct 15, 2017 10:18Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni fakhari kubwa kwa taifa la Iran.
-
Zarif: Wairani wote ni "Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu"
Oct 14, 2017 12:45Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu yay Iran amesema katika radiamali yake kwa matamshi ya chuki na kiuadui ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwamba hii leo Wairani wote, wake kwa waume na vijana kwa wazee ni "Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu".