-
Zarif: Iran itatoa jibu mwafaka kwa misimamo ya Trump kuhusu JCPOA
Oct 08, 2017 23:02Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran itatoa jibu mwafaka kujibu mapigo ya hatua yoyote ya kiuhasa itakayochukuliwa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya makubaliano ya nyuklia ya Iran ya JCPOA.
-
Zarif asema Iran na Oman zina uhusiano mzuri na wa karibu
Oct 02, 2017 11:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa Iran na Oman katika sekta za siasa, uchumi, usalama na masuala ya eneo ni mzuri na ni wa karibu.
-
Onyo la Zarif kuhusiana na kujiondoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA
Sep 30, 2017 08:48Misimamo ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani inathibitisha wazi kwamba rais huyo hayuko tayari kukubali kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza kikamilifu majukumu yake za mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa ufupi kama JCPOA licha ya nchi za Ulaya na hata wanasiasa mashuhuri wa nchi yake mwenyewe kuthibitisha suala hilo.
-
Dakta Zarif aionya Marekani kuhusu kujitoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Sep 29, 2017 00:18Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo Marekani itajitoa katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), basi Tehran nayo ina machaguo mengine ambayo inaweza kuyatekeleza.
-
Zarif: Iran haina imani na Marekani
Sep 28, 2017 04:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA haukufikiwa kwa msingi wa kuaminiana na kimsingi Iran haina imani na Marekani.
-
Zarif: Iran itaendelea kuwa pamoja na Wasyria kujenga upya nchi yao
Sep 22, 2017 00:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javad Zarif amesema kuwa Tehran inaunga mkono uzingatiaji wa kimataifa juu ya umuhimu wa kuendelea kutolewa misaada ya kibinaadamu na ukarabati wa Syria na kwamba katika hilo Iran itaendelea kushirikiana na Wasyria katika kuijenga upya nchi yao.
-
Zarif: Iran ni mshirika wa kuaminiwa wa Afrika Kusini
Sep 04, 2017 02:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran inaweza kuwa mshirika wa kuaminika wa Afrika Kusini katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Dakta Zarif: Mashinikizo ya Marekani dhidi ya IAEA yanakinzana na makubaliano ya JCPOA
Aug 24, 2017 03:01Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mashinikizo ya serikali ya Marekani kwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) yanakinzana na makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina la Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) yaliyofikiwa kati ya Iran na madola sita makubwa ulimwenguni.
-
Zarif: Iran inakaribisha kubadilika sera za kieneo za Saudi Arabia
Aug 23, 2017 03:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Ikiwa Saudi Arabia itaangalia upya siasa na sera zake za eneo la Mashariki ya Kati itapata jibu na radiamali chanya ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Dakta Zarif: Ugaidi si nembo ya dini wala kaumu yoyote ile
Aug 19, 2017 02:29Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali utendaji wa kindumakuwili wa baadhi ya mataifa kuhusiana na ugaidi.