-
Zarif na Sheikh Ahmad wasisitiza kuhitimishwa maafa ya kibinadamu Yemen
Aug 12, 2017 23:57Waziri wa wa Mambo ya Nje wa Iran na Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Yemen wamesisitiza ulazima wa kuhitimishwa maafa ya kibinadamu huko Yemen na kupatikana njia za kisiasa ili kutatua mgogoro wa nchi hiyo.
-
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Zimbabwe wasisitiza kuimarisha uhusiano wa nchi zao
Aug 04, 2017 22:10Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe wamesisitiza juu ya azma ya nchi zao ya kuimarisha uhusiano katika nyanja mbalimbali.
-
Zarif: Jamii ya kimataifa inapaswa kukomesha jinai za Israel
Aug 01, 2017 22:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jamii ya kimataifa inalazimika kukomesha utamaduni wa kutouadhibu utawala wa Kizayuni wa Israel na kuulazimisha utawala huo usitishe kabisa uhalifu na jinai zake dhidi ya watu wa Palestina.
-
Zarif: Wimbo wa Marekani dhidi ya Iran ni wa kukaririwa, umepitwa na wakati
Jul 19, 2017 23:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madai yanayotolewa na Marekani dhidi ya Iran hayana jipya, ni ya kukaririwa na hayaakisi uhakika wa mambo.
-
Zarif: Jamii ya Kimataifa haijali mchezo wa kuigiza wa Marekani dhidi ya Iran
Jul 19, 2017 03:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiilslamu ya Iran amesema kuwa, jamii ya kimataifa itaendelea kushirikiana na Iran bila ya kujali mchezo wa kuigiza wa vikwazo vya Marekani.
-
Zarif: Marekani wasifanye wachekwe, kamwe hawawezi kuipindua Jamhuri ya Kiislamu
Jul 18, 2017 03:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya kijuba na yaliyo kinyume na misingi ya kimataifa yanayotolewa na viongozi wa Marekani wanaosema kuwa siasa zao kuu ni kufanya mapinduzi nchini Iran na kuiangusha Jamhuri ya Kiislamu.
-
Dakta Zarif aitaka Marekani iangalie upya misimamo yake kuhusu JCPOA
Jul 13, 2017 22:46Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya Iran na madola sita makubwa duniani ni yalikuwa makubaliano kimataifa na kwamba, Marekani inapaswa kuangalia upya misimamo yake kuhusiana na makubaliano haya ya kimataifa.
-
Iran: Njama mpya za Marekani dhidi ya Syria ni kwa manufaa ya magaidi
Jun 27, 2017 11:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kitendo cha Marekani cha kuzusha vurugu mpya nchini Syria kwa kutegemea madai ya uongo, si kwa faida ya yeyote isipokuwa magaidi wa ISIS.
-
Zarif: Matamshi ya Trump kuhusu mashambulio ya kigaidi ya Tehran yanaudhi
Jun 08, 2017 11:05Dk. Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, matamshi ya rais wa Marekani, Donald Trump kuhusiana na mashambulizi ya kigaidi ya mjini Tehran ni kejeli kwa wahanga wa mashambulizi hayo na yanaudhi.
-
Dakta Zarif: Iran kinyume na Saudia, inafuatilia kutatuliwa kisiasa mgogoro wa Syria
May 26, 2017 22:17Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran kinyume na Saudi Arabia, inafuatilia kuhakikisha kwamba, mgogoro wa Syria unapatiwa ufumbuzi kupitia njia za kisiasa.