-
Zarif: Wananchi wa Iran hawaogopeshwi na vitisho
May 25, 2017 23:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, taifa la Iran ni taifa imara na la watu wasiotetereka hivyo haliogopeshwi na vitisho vyovyote vya Marekani.
-
Iran iko tayari kushirikiana na Sierra Leone katika kupambana na ugaidi
May 25, 2017 03:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria mashambulio ya kigaidi katika baadhi ya nchi za Ulaya na Afrika na kutangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kushirikiana na Sierra Leone katika kupambana na ugaidi na misimamo ya kufurutu mpaka.
-
Ushirikiano na uelewa wa pamoja, dawa ya kuangamiza ugaidi
Apr 24, 2017 03:27Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika makala iliyochapishwa kwenye gazeti la al Rai la Kuwait kwamba, njia pekee ya kupambana ipasavyo na ugaidi na misimamo ya kuchupa mipakai ni jamii ya kimataifa kufikia uelewa na ufahamu wa pamoja kwa ajili ya kuondoa tatizo hilo la dunia kote.
-
Zarif: Ufahamu wa pamoja wa jamii ya kimataifa ni njia pekee ya kupambana na uchupaji mipaka
Apr 23, 2017 09:08Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa njia pekee ya kupambana vyema na vikali na ugaidi na vitendo vya uchupaji mipaka ni kwa jamii ya kimataifa kuwa na ufahamu wa pamoja na hivyo kuweza kulipatia ufumbuzi tatizo hilo kubwa.
-
Zarif: Uchunguzi wa kimataifa ufanyike kuhusu mashambulizi ya silaha za kemikali Khan Sheikhoun
Apr 11, 2017 23:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo udharura wa kuundwa tume ya kimataifa ya kufanyika uchunguzi kuhusu mashambulizi ya silaha za kemikali yaliyolenga eneo la Khan Sheikhoun nchini Syria.
-
Zarif: Iran inataka kuimarisha zaidi ushirikiano na Russia
Mar 28, 2017 03:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inataka kuimarisha zaidi uhusiano wa kisiasa na kiuchumi na ushirikiano wa kikanda na serikali ya Moscow.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havina natija iyokusudiwa
Mar 16, 2017 03:55Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran katika nyuga za kisaisa na kiuchumi vitaku na natija ambayo Wamarekani hawakukusudia.
-
Zarif: Taifa la Iran limewaokoa Mayahudi mara tatu katika kipindi cha historia
Mar 12, 2017 23:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amejibu madai na tuhuma za kihistoria zilizotolewa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya taifa la Iran.
-
Zarif: Saudi Arabia ingali inavuruga uthabiti Mashariki ya Kati
Mar 06, 2017 00:54Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema Saudi Arabia haijabadilisha sera zake za uhasama na ingali inavuruga uthabiti wa Mashariki ya Kati.
-
Zarif: Siasa zisizo sahihi zimesababisha migogoro, uchafuzi wa mazingira na upungufu wa maji
Feb 24, 2017 23:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa siasa mbovu zimesababisha majanga, uchafuzi wa mazingira na upungufu wa maji katika eneo zima la Mashariki ya Kati.