Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zarif

  • Zarif: Iran ni mshirika wa uhakika wa kibiashara kwa ajili ya Ulaya

    Zarif: Iran ni mshirika wa uhakika wa kibiashara kwa ajili ya Ulaya

    Feb 21, 2017 04:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran ni mshirika wa uhakika wa kibiashara kwa ajili ya Ulaya.

  • Iran yapendekeza mazungumzo   na nchi za Kiarabu

    Iran yapendekeza mazungumzo na nchi za Kiarabu

    Feb 19, 2017 10:53

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif amependekeza kuundwa jukwaa la pamoja na nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi kwa lengo la kutafutia suluhisho matatizo yaliyopo katika eneo.

  • Zarif: Kuingia wanajeshi wa Marekani nchini Syria kutazidisha mgogoro

    Zarif: Kuingia wanajeshi wa Marekani nchini Syria kutazidisha mgogoro

    Feb 18, 2017 04:17

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, mpango wa serikali ya Marekani wa kutuma wanajeshi wake nchini Syria hautakuwa na matokeo mengine ghairi ya kuongeza mgogoro katika eneo la Mashariki ya Kati na duniani kiujumla. Amesema hayo pambizoni mwa mkutano wa usalama uliofanyika mjini Munich, Ujerumani wakati alipohojiwa na televisheni ya CNN.

  • Zarif ajibu madai ya Netanyahu, historia ya Israel imejaa ukatili

    Zarif ajibu madai ya Netanyahu, historia ya Israel imejaa ukatili

    Feb 18, 2017 01:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai yaliyotolewa na Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhusu mipango ya kujihami ya makombora ya Iran.

  • Zarif: Iran haitaathiriwa na vitisho

    Zarif: Iran haitaathiriwa na vitisho

    Feb 03, 2017 11:29

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif katika kujibu vitisho vya hivi karibuni vya wakuu wa Marekani ameandika katika ukurasa wake binafsi wa Twitter kuwa: "Iran haitaathiriwa na vitisho".

  • Iran yaitahadharisha Marekani kuhusu makombora

    Iran yaitahadharisha Marekani kuhusu makombora

    Jan 31, 2017 10:00

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya Marekani kuhusu kubadilisha kadhia ya makombora halali ya Iran kuwa mchezo wa kisiasa.

  • Zarif: Iran inapinga ushiriki wa Marekani katika mazungumzo ya Astana kuhusu Syria

    Zarif: Iran inapinga ushiriki wa Marekani katika mazungumzo ya Astana kuhusu Syria

    Jan 18, 2017 03:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Muhammad Javad Zarif amesema kuwa, Tehran inapinga ushiriki wa Marekani katika mazungumzo ya stana, mji mkuu wa Kazakhstan kuhusiana na Syria.

  • Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Syria wafanya mazungumzo mjini Tehran

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Syria wafanya mazungumzo mjini Tehran

    Dec 31, 2016 11:36

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Syria wamekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na kujadili masuala mbalimbali ya kieneo na kimatifa.

  • Dakta Zarif: Usitishaji vita nchini Syria ni mafanikio makubwa

    Dakta Zarif: Usitishaji vita nchini Syria ni mafanikio makubwa

    Dec 30, 2016 00:14

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekaribisha utekelezwaji wa makubaliano ya usitishaji vita nchini Syria na kusema kuwa, hatua hiyo ni mafanikio makubwa na muhimu.

  • Dakta Zarif: Iran, Russia na Uturuki zimesisitiza juu ya kuhifadhiwa ardhi yote ya Syria

    Dakta Zarif: Iran, Russia na Uturuki zimesisitiza juu ya kuhifadhiwa ardhi yote ya Syria

    Dec 21, 2016 03:45

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kikao cha pande tatu cha Iran, Russia na Uturuki kilichofanyika Moscow mji mkuu wa Russia kimesisitiza juu ya kuhitimishwa mgogoro wa Syria kupitia mazungumzo ya kisiasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS