-
Taarifa ya Iran, Russia na Uturuki kuhusu mgogoro wa Syria
Dec 20, 2016 12:34Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran, Russia na Uturuki wametoa taarifa ya pamoja na kutangaza kuwa nchi hizo tatu zinaunga mkono utawala, uhuru na kulindwa mipaka yote ya Syria.
-
Zarif: Iran inafanya juhudi za kuimarisha muqawama wa taifa la Palestina
Dec 12, 2016 23:20Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili daima limekuwa likifanya juhudi za kuimarisha safu za muqawama, mapambano na mshikamano wa taifa la Palestina.
-
Zarif: Kipindi cha ubeberu wa Marekani Mashariki ya Kati kimepita
Dec 06, 2016 03:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, zama za ubeberu wa nchi za Magharibi hususan Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati, zimepita na kuyoyoma.
-
Zarif: Fidel Castro alisimama imara kukabiliana na ubeberu
Nov 28, 2016 11:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javad Zarif amesema kuwa, hayati Fidel Castro kiongozi wa zamani wa Cuba aliyefariki dunia alikuwa akisisitiza kuimarishwa ushirikiano na mataifa mengine.
-
Iran yaomboleza kifo cha Fidel Castro
Nov 26, 2016 12:29Rais Hassan Rouhani wa Iran ametuma salamu za rambirambi kwa taifa na serikali ya Cuba kufuatia kuaga dunia Fidel Castro, Kiongozi wa Mapinduzi ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini.
-
Dakta Zarif afanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Baraza la Usalama na Amani la AU
Nov 21, 2016 23:18Kamishna Mkuu wa Baraza la Usalama na Amani la Umoja wa Afrika Smail Chergui aliyeko safarini hapa mjini Tehran, jana alikutana na kufanya mazungumzo na Dakta Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zarif asisitiza kukomeshwa mauaji ya raia katika nchi za Syria na Yemen
Nov 08, 2016 23:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametaka kukomeshwa mara moja mauaji ya raia katika nchi za Syria na Yemen.
-
Zarif: Kadhia ya Palestina ndio suala kuu kwa Ulimwengu wa Kiislamu
Nov 08, 2016 12:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Muhammad Javad Zarif amesema kadhia ya Palestina ndio suala kuu kwa Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na Rais wa Bolivia
Aug 26, 2016 22:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Muhammad Javad Zarif amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Evo Morales wa Bolivia na kubadilishana mawazo juu ya masuala yanaoyuhusu pande mbili.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na Rais wa Equador
Aug 25, 2016 03:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Muhammad Javad Zarif amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Rafael Correa wa Equador katika mji mkuu wa nchi hiyo Quito.