-
Safari ya Zarif Uturuki; fupi lakini ya mafanikio mengi
Aug 14, 2016 01:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Muhammad Javad Zarif, siku ya Ijumaa alifanya safari ya siku moja nchini Uturuki; safari fupi lakini iliyokuwa na mafanikio mengi. Katika safari yake hiyo Zarif alikutana na kufanya mazungumzo na waziri mwenzake wa Uturuki pamoja na Rais wa nchi hiyo.
-
Zarif: Ulimwengu wa Kiarabu unakabiliwa na changamoto chungu nzima
Aug 13, 2016 03:38Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema ulimwengu wa Kiarabu haswa katika eneo la Mashariki ya Kati unakabiliwa na changamoto nyingi na kwamba Jamhuri ya Kiislamu sio miongoni mwa matatizo ya nchi za Kiarabu.
-
Zarif: Njama za Israel na Saudia za kuichafua Iran zimefeli
Jul 26, 2016 12:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia zinaendeleza mradi wa propaganda chafu za kuidhihirisha Iran kuwa ni tishio.
-
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran aanza safari barani Afrika
Jul 24, 2016 09:56Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo ameondoka hapa mjini Tehran na kuanza safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za magharibi mwa Afrika.
-
Zarif: Masunni na Mashia lazima waungane kuzima ugaidi
Jul 24, 2016 00:00Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hujuma ya kigaidi ya hapo jana iliyosababisha vifo vya makumi ya watu nchini Afghanistan na kusisitiza kuwa, wakati umefika kwa Waislamu wa madhehebu ya Shia na Sunni waungane kwa shabaha ya kulikabili kwa pamoja jinamizi la ugaidi.
-
Iran yakosoa ripoti ya Ban kuhusu mapatano ya nyuklia
Jul 19, 2016 09:11Iran imesema ripoti ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Tehran inavyotekeleza mapatano ya nyuklia imejaa maelezo ambayo hayajakamilika.
-
Zarif: Iran haitopumzika hadi ugaidi utokomezwe duniani
Jul 04, 2016 02:44Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema katu haitapumzika hadi pale ugaidi na idiologia za kuchupa mipaka za magaidi zitakapotokomezwa kikamilifu.
-
Iran yaitaka Marekani ichukue hatua zaidi kutekeleza mapatano ya nyuklia
Jun 14, 2016 22:24Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani inapaswa kuchukua hatua zaidi katika utekelezwaji wa mapatano ya nyuklia kwa kuziruhusu benki kufanya biashara na Iran baada ya kuondolewa vikwazo.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kwa Magharibi kutekeleza ahadi zake kuhusiana na JCPOA
May 22, 2016 23:00Katika miezi na wiki za hivi karibuni, Tehran imekuwa mwenyeji wa jumbe za kisiasa na kiuchumi kutoka nchi mbalimbali za Ulaya, Asia na Afrika. Katika safari hizo yamesainiwa makubaliano kadhaa katika nyanja za kiuchumi na uwekezaji wa pamoja katika kipindi hiki cha baada ya kufikiwa makubaliano ya nyuklia yajulikanao kama JCPOA.
-
Ulaya, Marekani zitekeleze mapatano ya nyuklia ya Iran kivitendo
May 21, 2016 11:28Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran ametoa wito kwa nchi za Ulaya na Marekani kuchukua hatua za kivitendo kuondoa vikwazo vya kibenki na kiuchumi dhidi ya Iran kwa mujibu wa mapatano ya nyuklia mwaka jana kati ya Tehran na madola sita makubwa duniani.