-
Iran yataka Wapalestina waungane kukabiliana na Utawala wa Kizayuni
May 01, 2016 09:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesisitiza kuhusu ulazima wa kuwepo umoja miongoni mwa makundi yote ya Palestina.
-
Zarif: Hatuna cha kujadili kuhusu makombora ya Iran
Apr 10, 2016 03:21Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema katu Jamhuri ya Kiislamu haiwezi kufanya aina yoyote ya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Uturuki
Mar 19, 2016 04:09Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ameelekea Uturuki hii leo ambapo atafanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu wa serikali ya Ankara.
-
Mawaziri wa kigeni wa Iran na Russia wajadili kadhia ya Syria
Mar 18, 2016 23:09Mawaziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamefanya mazumgumzo ya simu kuhusu usitishwaji vita nchini Russia.
-
Washauri wa kijeshi wa Iran wako Syria kwa ombi la nchi hiyo
Feb 17, 2016 03:50Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif anasema washauri wa kijeshi wa Iran wako Syria kufuatia ombi la serikali ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Iran na Ubelgiji zataka kuimarishwa ushirikiano
Feb 16, 2016 11:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema anataraji kuwa uhusiano wa kiuchumi kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ubelgiji utaongezeka haraka katika kipindi hiki kipya.
-
Zarif: Usalama haupatikani kwa kuvuruga usalama wa wengine
Feb 07, 2016 10:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema usalama na maslahi hayapatikani mkabala wa kuvuruga usalama na kutozingatia maslahi ya wengine.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran mjini London
Feb 04, 2016 08:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif leo yuko mjini London, kufuatia mwaliko rasmi wa mwenzake wa Uingereza Phillip Hammond, kushiriki katika kikao cha kimataifa cha kuisaidia Syria na Mashariki ya Kati.