-
Muswada wa kumsaili Mugabe, wawasilishwa katika bunge la Zimbabwe
Nov 19, 2017 00:59Mpango wa kusailiwa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe umewasilishwa katika bunge la nchi hiyo.
-
Maelfu waandamana Zimbabwe wakishinikiza Mugabe ajiuzulu
Nov 18, 2017 11:27Maelfu ya raia wameandamana leo nchini Zimbabwe hasa katika mji mkuu Harare wakiunga mkono hatua ya jeshi ya kumuondoa madarakani Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo na kupiga nara wakishinikiza kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 93 ajiuzulu na kuachia madaraka ya nchi.
-
Mugabe azidi kukabiliwa na mashinikizo ya kujiuzulu, Rais wa Botswana amkosoa, maandamano dhidi yake yafanyika Harare
Nov 18, 2017 04:12Rais Ian Khama wa Botswana amemtaka Rais mkongwe wa Zimbabwe Robert Mugabe aachie madaraka akisisitiza kuwa kiongozi huyo hana uungaji mkono wa kidiplomasia wa kieneo wa kumfanya abaki madarakani.
-
Chama tawala nchini Zimbabwe kuongoza maandamano dhidi ya Mugabe
Nov 17, 2017 23:50Chama tawala nchini Zimbabwe Zanu-PF hii leo klnatazamiwa kuongoza maandamano katika mji mkuu Harare, kumshinikiza Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo ajiuzulu.
-
Chama tawala Zimbabwe chasema hakuna kurudi nyuma, Mugabe ang'atuke
Nov 17, 2017 13:21Chama tawala nchini Zimbabwe cha Zanu- PF kimetangaza kuwa kinapanga mikakati ya kumlazimisha Rais mkongwe wa nchi hiyo, Robert Mugabe ang'atuke madarakani baada ya kuitawala nchi hiyo kwa kipindi cha miaka 37.
-
Kuendelea mvutano wa kisiasa nchini Zimbabwe
Nov 17, 2017 11:43Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu yalipojiri mapinduzi baridi ya kijeshi nchini Zimbabwe, wingu la mgogoro wa kisiasa lingali limetanda ndani ya nchi hiyo huku hatima ya mgogoro wenyewe ikibaki kuwa kitendawili.
-
Mugabe kutana kwa nyuso za bashasha na wanajeshi; akataa mwito wa kujiuzulu
Nov 17, 2017 03:55Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ambaye anashikiliwa katika kizuizi cha nyumbani kwa mara nyingine tena amekataa mwito wa jeshi unaomtaka ajiuzulu.
-
Iran: Pande husika katika masuala ya Zimbabwe zitatue matatizo yao kwa njia ya mazungumzo
Nov 17, 2017 00:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka pande zote zinazohusika na matukio ya hivi sasa ya Zimbabwe, kutatua matatizo yao kwa njia ya mazungumzo.
-
Taharuki Zimbabwe, Mugabe ang'ang'ania madaraka, AU na UN zatoa kauli
Nov 16, 2017 12:40Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ambaye yuko katika ncha ya kuuzuliwa amekataa kuachia madaraka akisisitiza kuwa yeye ndiye kiongozi halali wa nchi hiyo.
-
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe aondolewa madarakani
Nov 15, 2017 12:04Jeshi la Zimbabwe limemuondoa madarakani rais wa nchi hiyo Robert Gabriel Mugabe.