-
MDC: Kuuita uwanja wa ndege wa kimataifa "Mugabe" ni tusi kwa Wazimbabwe
Nov 10, 2017 23:42Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe cha MDC kimekosoa vikali hatua ya kubadilisha jina la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Harare na kuuita Robert Gabriel Mugabe, jina la rais wa nchi hiyo.
-
Makamu wa Rais wa Zimbabwe aliyeuzuliwa akimbia nchi
Nov 09, 2017 04:28Makamu wa Rais wa Zimbabwe aliyefutwa kazi na kutimuliwa ndani ya chama tawala Zanu-PF hivi karibuni amekimbilia uhamishoni akidai kuwa maisha yake yamo hatarini.
-
Rais Mugabe wa Zimbabwe amfuta kazi makamu wake
Nov 07, 2017 01:08Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amempiga kalamu nyekundu makamu wake Emmerson Mnangagwa, kutokana na kile kilichotajwa kama ukosefu wa uaminifu kwa rais na kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
-
Mmarekani aliyemtukana Rais Mugabe wa Zimbabwe aswekwa jela
Nov 03, 2017 10:54Polisi nchini Zimbabwe imemtia mbaroni raia wa Marekani kwa tuhuma za kumtusi Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo.
-
Rais Mugabe ataka kurejeshwa hukumu ya kifo nchini Zimbabwe
Nov 02, 2017 04:46Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametoa mwito wa kurejeshwa hukumu ya kifo baada ya watu 50 kutuma maombi ya kujaza nafasi iliyo wazi ya mtu wa kutekeleza adhabu ya kunyongwa.
-
Mchungaji apandishwa kizimbani kwa jaribio la kuipindua serikali ya Zimbabwe
Sep 25, 2017 11:42Zimbabwe leo imempandisha kizimbani mchungaji mwanaharakati kwa tuhuma za kujaribu kuipindua serikali; kosa ambalo iwapo atapatikana na hatia adhabu yake ni kifungo cha miaka 20 jela.
-
Upinzani Zimbabwe wakataa mpango wa kuasisi muungano wa kitaifa
Sep 06, 2017 23:51Chama cha upinzani nchini Zimbabwe cha Movement for Democratic Change (MDC) jana Jumatano kilieleza kuwa hakina mipango ya kujiunga na vijikundi vilivyopo ndani ya chama tawala ZANU-PF ili kuasisi muungano wa umoja wa kitaifa baada ya kuaga dunia Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo aliye na umri wa miaka 93.
-
Ushirikiano wa Iran na Zimbabwe katika mapambano dhidi ya mabeberu ni mfano wa kuigwa
Sep 05, 2017 09:42Mshauri maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema muqawama au mapambano ya watu wa Iran na Zimbabwe dhidi ya madola ya kibeberu ni mfano wa kuigwa na wapigania uhuru kote duniani.
-
Grace Mugabe apewa kinga ya kidiplomasia ya kuondoka Afrika Kusini
Aug 20, 2017 03:28Mke wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Grace Mugabe ambaye anakabiliwa na kesi ya kumpiga na kumjeruhi mwanamitindo wa Afrika Kusini amepewa kinga ya kidiplomasia.
-
Mrithi mtarajiwa wa rais wa Zimbabwe alazwa hospitalini nchini Afrika Kusini
Aug 14, 2017 10:46Makamu wa Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa mmoja wa wanasiasa wanaotarajiwa kumrithi Rais wa nchi hiyo Robert Mugabe amesafrishwa kupelekwa nchini Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu.