-
Rais Raisi: Iran na Zimbabwe zimeazimia kuendeleza biashara
Jul 13, 2023 10:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari akiwa pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe kuwa Iran na Zimbabwe zimeazimia kuendeleza biashara.
-
Raisi aondoka Kampala kuelekea ziarani Harare
Jul 13, 2023 04:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Alhamisi ameondoka Kampala na kuelekea Harake mji mkuu wa Zimbabwe baada ya kukamilisha ziara huko Uganda.
-
Rais wa Zimbabwe aahidi uchaguzi wa Rais utakuwa huru na wa haki
Apr 19, 2023 21:58Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ameonya dhidi ya sauti za kigeni au za ndani, ikiwa ni pamoja na mashirika yasiyo ya kiserikali yasiyo ya uaminifu ambayo yanachochea migawanyiko na mifarakano.
-
Zimbabwe kujinaisha kuajiriwa wafanyakazi wake wa afya katika nchi za kigeni
Apr 06, 2023 22:51Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Constantino Chiwenga, ametangaza kuwa nchi hiyo inakusudia kuanzisha sheria ambayo itafanya kuwa kinyume cha sheria kwa mataifa mengine kuajiri wafanyikazi wake wa afya.
-
Wazimbabwe wakasirishwa na baadhi ya shakhsia wa karibu na serikali kujihusisha na magendo ya dhahabu
Mar 30, 2023 08:10Dokumentari iliyoandaliwa na televisheni ya al Jazeera yenye makao yake mjini Doha huko Qatar ambaye imefichua namna watu walio na uhusiano na serikali ya Zimbabwe na chama tawala wanavyotorosha madini ya dhahabu, imeibua hasira miongoni mwa wananchi nchini humo.
-
Wafungwa sita wa Zimbabwe watoroka kizuizini Afrika Kuisini, polisi inawasaka washukiwa
Mar 14, 2023 08:11Polisi ya Afrika Kusini imetangaza kuwa imeanzisha msako wa kuwasaka washukiwa "wenye silaha nzito" ambao wamewaachilia huru wafungwa sita katika mapigano makali ya risasi.
-
Makamu wa Rais wa Iran: Kutanua uhusiano na nchi za Kiafrika ni sera kuu ya Iran
Feb 28, 2023 04:05Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amekutaja kupanua uhusiano na maingiliano na nchi za Kiafrika hususan Zimbabwe kuwa ni moja ya njia kuu za sera za kigeni za Iran.
-
Zimbabwe inapoteza madaktari na walimu kwa unafiki wa Uingereza
Feb 08, 2023 22:48Uingereza ambayo sasa inakabiliwa na uhaba mkubwa wa wauguzi na walimu baada ya kujitoa katika Umoja wa Ulaya, imekuwa ikijielekeza katika koloni lake la zamani, Zimbabwe kutafuta wafanyakazi wa sekta ya umma wakiwemo wauguzi, madaktari na walimu.
-
Raisi: Uhusiano wa Iran na Zimbabwe ni wa kirafiki
Feb 07, 2023 11:48Rais wa Jamhuri ya Kiislamu, amesema uhusiano wa Iran na Zimbabwe baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu daima umekuwa wa kirafiki na unaendelea kuimarika.
-
Iran na Zimbabwe kusaini makubaliano ya kuimarisha ushirikiano
Jan 22, 2023 04:21Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe zinanatazamiwa kusaini hati kadhaa za makubaliano ya kuimarisha ushirikiano wa pande mbili ndani ya wiki kadhaa zijazo.