-
Mripuko wa surua umeua watoto 700 nchini Zimbabwe
Sep 06, 2022 21:53Mripuko wa surua umeua takriban watoto 700 nchini Zimbabwe tokea mwezi Aprili mwaka huu hadi sasa.
-
Salami: Maamuzi ya Iran yanaathiri uchaguzi wa Marekani
Sep 06, 2022 21:53Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema maamuzi ya kisiasa ya Jamhuri ya Kiislamu yana taathira na nafasi kubwa katika chaguzi za Marekani.
-
Ripoti: Mikusanyiko ya Wakristo yachangia kuenea surua Zimbabwe
Aug 15, 2022 22:11Wizara ya Afya ya Zimbabwe imetangaza kuwa, mlipuko wa ugonjwa wa surua nchini humo umesababishwa na mikusanyiko ya kidini ya Wakristo.
-
Wafanyakazi wa afya na walimu waanzisha mgomo Zimbabwe kulalamikia hali zao
Jun 21, 2022 09:16Wafanyakazi wa sekta za afya na ualimu nchini Zimbabwe wameanzisha mgomo kulalamikia mazingira duni ya kazi huku wakikataa nyongeza ya asilimia mia moja ya mishahara iliyotangazwa na serikali mwishoni mwa wiki.
-
Watu 35 wafariki dunia katika ajali ya basi nchini Zimbabwe
Apr 15, 2022 07:35Kwa akali watu 35 wamefariki dunia baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuhusika katika ajali mbaya ya barabarani nchini Zimbabwe.
-
Zimbabwe yaanza kutwaa tena ardhi ambazo hazijatumika kutoka kwa wakulima wazawa
Mar 31, 2022 05:46Zimbabwe imeanza kitwaa tena ardhi za kilimo kutoka kwa raia asili na weusi wa nchi hiyo ambazo walipewa chini ya mpango wa mageuzi makubwa ya ardhi yaliyofanywa wakati wa utawala wa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Robert Mugabe miongo miwili iliyopita lakini walizitelekeza bila kuzitumia.
-
Upinzani wakipiga mweleka chama tawala katika uchaguzi mdogo wa Bunge Zimbabwe
Mar 28, 2022 06:29Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe kimepata kura nyingi zaidi ya chama tawala katika uchaguzi mdogo wa Bunge uliofanyika Jumamosi ya juzi.
-
Hospitali Zimbabwe zakumbwa na upungufu wa wauguzi baada ya mamia kuhamia Uingereza
Mar 10, 2022 00:40Ripoti kuhusu upungufu wa wauguzi katika hospitali za serikali na za binafsi huko Zimbabwe zimeendelea kugonga vichwa vya habari katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
Zimbabwe yaathiriwa na wimbi la kuhajiri wafanyakazi wa sekta ya afya
Dec 16, 2021 23:34Zimbabwe imeathiriwa na wimbi kubwa la wafanyakazi wake wa sekta ya afya kuhajiri na kwenda nchi za nje kutafuta kazi wakati huu ambapo nchi hiyo inasumbuliwa pakubwa na maambukizi ya VOVID-19. Hadi sasa zaidi ya wafanyakazi wa sekta ya afya 2,200 wameondoka Zimbabwe na kuelekea Marekani, Uingereza, Australia na katika mataifa jirani kwa ajili ya kusaka ajira.
-
Watumishi wa umma ambao hawajachanja Zimbabwe kutoruhusiwa kazini
Oct 15, 2021 23:02Kuanzia Jumatatu ijayo, wafanyakazi wa serikali na watumishi wote wa umma ambao hawajapiga chanjo ya kukijikinga na ugonjwa wa COVID-19 hawataruhusiwa kuingia kazini nchini Zimbabwe.