-
Hospitali Zimbabwe zakumbwa na upungufu wa wauguzi baada ya mamia kuhamia Uingereza
Mar 10, 2022 00:40Ripoti kuhusu upungufu wa wauguzi katika hospitali za serikali na za binafsi huko Zimbabwe zimeendelea kugonga vichwa vya habari katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
Zimbabwe yaathiriwa na wimbi la kuhajiri wafanyakazi wa sekta ya afya
Dec 16, 2021 23:34Zimbabwe imeathiriwa na wimbi kubwa la wafanyakazi wake wa sekta ya afya kuhajiri na kwenda nchi za nje kutafuta kazi wakati huu ambapo nchi hiyo inasumbuliwa pakubwa na maambukizi ya VOVID-19. Hadi sasa zaidi ya wafanyakazi wa sekta ya afya 2,200 wameondoka Zimbabwe na kuelekea Marekani, Uingereza, Australia na katika mataifa jirani kwa ajili ya kusaka ajira.
-
Watumishi wa umma ambao hawajachanja Zimbabwe kutoruhusiwa kazini
Oct 15, 2021 23:02Kuanzia Jumatatu ijayo, wafanyakazi wa serikali na watumishi wote wa umma ambao hawajapiga chanjo ya kukijikinga na ugonjwa wa COVID-19 hawataruhusiwa kuingia kazini nchini Zimbabwe.
-
Spika wa Zimbabwe: Marekani, muasisi wa ukiukaji wa haki za binadamu
Jul 28, 2021 06:44Spika wa Bunge la Kitaifa la Zimbabwe ameitaja Marekani kama muasisi, chimbuko na taifa linaloongoza kwa ukiukaji wa haki za binadamu duniani.
-
Zimbabwe ni miongoni mwa nchi bora katika malipo ya mtandaoni barani Afrika
May 28, 2021 22:09Zimbabwe imepiga hatua kubwa katika sekta ya teknolojia za kidijitali ikiwa ni pamoja na mapinduzi katika malipo ya pesa kwa kutumia simu za mkononi ambapo hivi sasa watu milioni 7.67 kati ya milioni 14.5 nchini humo wanatumia simu za mkononi katika miamala ya kifedha.
-
Rouhani: Taifa la Zimbabwe litavishinda vikwazo vya Marekani
Apr 18, 2021 22:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi mwenzake wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa kwa mnasaba wa Siku ya Uhuru wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, iliyoadhimishwa jana Jumapili.
-
Zimbabwe yapiga marufuku kuingiza magari ya zaidi ya miaka 10 nchini humo
Apr 03, 2021 02:50Zimbawe imepiga marufuku kuingiza nchini humo magari makongwe yaliyotengenezwa zaidi ya miaka 10 iliyopita ikiwa ni hatua ya kukuza viwanda vya ndani, kupunguza gharama na kukabiliana na uchafuzi wa mazingira na hali ya hewa.
-
Corona yaua waziri wa tatu ndani ya wiki moja nchini Zimbabwe
Jan 23, 2021 08:14Joel Matiza, Waziri wa Uchukuzi na Ustawi wa Miundombinu wa Zimbabwe ameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19, na hivyo kuwa waziri wa tatu kuaga dunia kwa maradhi hayo katika kipindi cha siku saba.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe aaga dunia kwa corona
Jan 21, 2021 01:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe, Sibusiso Moyo ameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19.
-
Waziri mwingine aaga dunia kwa corona nchini Zimbabwe
Jan 16, 2021 00:49Zimbabwe imempoteza waziri wake wa pili ambaye ameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19.