Serikali ya Rais Denis Sassou Nguesso yashtakiwa nchini Ufaransa +SAUTI
(last modified Mon, 24 Aug 2020 16:27:00 GMT )
Aug 24, 2020 16:27 UTC

Mpinzani wa serikali ya Rais Denis Sassou Nguesso wa Jamhuri ya Congo Brazzaville ameishtaki serikali ya nchi hiyo katika mahakama moja nchini Ufaransa kwa kile alichokieleza kuwa, njama za serikali hiyo za kutaka kumuua akiwa uhamishoni.

Serikali ya Congo Brazzaville imekuwa ikilalamikiwa kwa kuua wapinzani.