-
Mchambuzi wa Asia Magharibi: Israel inakabiliwa na changamoto chungu nzima
Sep 07, 2026 02:46Mtaalamu wa masuala ya Asia Magharibi amesisitiza: “Tatizo kubwa zaidi la ndani linaloukabili utawala wa Kizayuni katika hali ya sasa ni matatizo ya kijamii ndani ya maeneo yanayokaliwa kwa mabavu.
-
Mazishi ya Wapalestina 100 waliouliwa shahidi yafanyika Gaza; watoto 70 ni miongoni mwa mashahidi hao
Sep 06, 2026 11:32Mazishi ya Wapalestina 100 waliouliwa shahidi yafanyika Gaza; watoto 70 ni miongoni mwa mashahidi hao
-
Majeshi ya Yemen yakabiliana na mamluki wa Saudia mkoani Ta’izz
Sep 05, 2026 02:59Inaripotiwa kuwa maelfu ya mamluki wanaofadhiliwa na ufalme wa Saudi Arabia wamekabiliana na Majeshi ya Yemen katika mkoa wa Ta’izz.
-
Katibu Mkuu wa Harakati ya Nujaba: Kuanzia mwezi ujao, hatutambakisha hai mwanajeshi hata mmoja wa Marekani nchini Iraq
Sep 03, 2026 09:09Katibu Mkuu wa harakati ya al Nujaba ya Iraq amesema kwamba Kambi ya Muqawama imejitayarisha kikamilifu kwa ajili ya kuwafukuza wanajeshi wa kigeni nchini humo tarehe 30 mwezi huu wa Septemba, na kwamba baada ya tarehe hiyo, hatutamwacha hai hata mwanajeshi mmoja wa Marekani atakayesalia nchini Iraq.
-
Guterres atishia kuipeleka Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki
Sep 03, 2026 09:04Gazeti la Kizayuni limeripoti kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametishia kuupeleka utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) huko The Hague nchini Uholanzi.
-
Malengo ya utawala wa Kizayuni ya kubakisha majeshi yake katika ardhi ya Syria
Sep 03, 2026 07:27Asaad al-Shaibani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, amesisitiza kuwa tangazo la utawala wa Kizayuni kuhusu kuendelea kuwepo kwa majeshi yake katika ardhi ya Syria ni jaribio la kuimarisha na kudumisha uvamizi wake katika nchi hiyo.
-
Yemen: Shambulio la Marekani kwenye hafla ya harusi nchini Iran ni uhalifu kamili wa kivita
Sep 03, 2026 03:24Taasisi ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Yemen imelaani vikali uhalifu wa kivita uliofanywa na Marekani katika shambulio dhidi ya hafla ya harusi huko Sirik, kusini mwa Iran.
-
UN: Hali ya kibinadamu Gaza na Ukingo wa Magharibi yazidi kuzorota
Sep 02, 2026 02:43Mashirika ya Umoja wa Mataifa, lile la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) na la Afya Duniani (WHO) yameonya kuhusu kuzorota kwa hali ya kibinadamu katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kimabavu na Israel.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan: Uvamizi dhidi ya Iran ndio sababu kuu ya mgogoro wa kikanda
Sep 01, 2026 14:17Waziri Mkuu wa Pakistan, Shehbaz Sharif, amesema kuwa ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala na ardhi ya Iran mapema mwaka huu umesababisha mgogoro mkubwa wa kikanda, na kusisitiza kuwa diplomasia ndiyo njia pekee endelevu ya kutatua mgogoro huo.
-
Ripoti za UN: Mashambulizi ya walowezi huko Palestina yanaongezeka, na takwimu zinamkadhibisha Netanyahu
Sep 01, 2026 03:11Kwa wiki ya nne mfululizo, walowezi wa kuzayuni wa Israel wanaendelea kuzingira familia tatu za Wapalestina katika eneo la Ras al-Ain la mji wa Qusra, kusini mwa Nablus, huku mashambulizi yakiendelea dhidi ya nyumba na ardhi za kandokando ya mji huo.