-
Jeshi la Israel lakiri kuwa katika wakati mgumu wa kukabiliana na operesheni za wanamapambano wa Kiislamu
Sep 12, 2022 03:02Baadhi ya duru za Kizayuni zimeripoti kuwa, licha ya jeshi la Israel kuvamia kila siku na mara kwa mara maeneo ya Wapalestina na licha ya kufanya ukatili mkubwa dhidi ya Wapalestina lakini limeshindwa kuzuia operesheni za wanamuqawama na wanamapambano wa Kiislamu.
-
Mateka 73 wa Kipalestina wafa shahidi katika jela za utawala wa Kizayuni kwa kukosa matibabu
Sep 11, 2022 21:59Taasisi ya kutetea haki za binadamu ya Palestina imetangaza kuwa, tangu mwaka 1967 hadi sasa Wapalestina 73 wameaga dunia kutokana na upuuzaji unaofanywa na Israel wa kutowapatia matibabu stahiki mateka wa Kipalestina katika jela za utawala huopandikizi unaozikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Jihadul Islami: Jinai za Israel zinazidisha ari na irada ya muqawama
Sep 11, 2022 03:07Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imetangaza kuwa, jinai za utawala ghasibu wa Israel zinazidisha ari na irada ya muqawama na mapambano ya Wapalestina dhidi ya utawala huo ghasibu.
-
Ujumbe wa ngazi za juu wa HAMAS wawasili katika mji mkuu wa Russia, Moscow
Sep 11, 2022 03:03Ujumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS umewasili katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
-
Jumuiya ya al-Wifaq: Uchaguzi ujao wa Bunge Bahrain ni wa kuimarisha dhulma
Sep 10, 2022 23:59Jumuiya ya Kitaifa na Kiislamu nchini Bahrain ya Al-Wifaq imetangaza kuwa, uchaguzi ujao wa Bunge nchini humo ni wenzo na chombo cha kuimarisha dhulma na kuendelea ufisadi
-
HAMAS yaonya kuhusu vitendo vya hujuma dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
Sep 10, 2022 23:59Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya tena kuhusiana na kuendelea vitendo vya kuuvamia na kuuhujumu msikiti wa al-Aqswa, vinavyofanywa na walowezi wa Kizayuni wakipata himaya ya jeshi la utawala ghasibu wa Israel.
-
UNICEF yaitaka serikali ya Taliban ifungue skuli zote za wasichana Afghanistan
Sep 10, 2022 07:07Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limeitaka serikali ya Taliban inayotawala Afghanistan izifungue skuli zote za wasichana nchini humo.
-
Hamas: Mauaji ya raia wa Kipalestina yanaonesha sura mbaya ya Israel
Sep 09, 2022 22:07Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, mauaji yanayofanywa kwa makusudi na askari wa Israel dhidi ya raia wa Kipalestina yanaonyesha sura mbaya ya wavamizi hao wanaoikalia Palestina kwa mabavu.
-
Wayemen walivyojiimarisha kwa nguvu za kijeshi kuzuia adui asijusuru kuanzisha mashambulio
Sep 09, 2022 21:59Wakati mwaka wa nane wa vita vilivyoanzishwa na muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen ukiwa unaendelea kupita, Wayemen wanazidi kuongeza nguvu na uwezo wao wa kijeshi wa kumzuia adui asithubutu kuanzisha mashambulio dhidi ya nchi hiyo.
-
Taarifa ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu; mzongano usiozongoka wa uzushaji tuhuma dhidi ya Iran
Sep 09, 2022 06:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani taarifa ya hivi karibuni ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na ya ile inayojiita kamati ya pande nne na kusisitiza kuwa hatua zinazochukuliwa na Iran kuhusiana na visiwa vyake vitatu zinalenga kulinda mamlaka ya kujitawala ardhi yote ya taifa hili.