-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina: Matamshi ya karibuni ya Lapid ni sawa na kutoa kibali cha kuuliwa Wapalestina
Sep 08, 2022 22:12Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imesisitiza kuwa utawala wa Kizayuni unabeba dhima ya kuwa masuuli wa jinai zinazofanywa kwa Wapalestina, kukiukwa haki za raia hao, ardhi na matukufu ya Palestina kwa hatua yake ya kuwaunga mkono kikamilifu wauaji, watenda jinai, na magaidi wake.
-
Rais wa Lebanon: Hizbullah ni mshirika wetu na tunaiunga mkono
Sep 08, 2022 06:46Rais Michel Aoun wa Lebanon amesisitiza kuwa anaiunga mkono Hizbullah na akabainisha kwamba, hatua iliyochukuliwa na muqawama wa Lebanon imesukuma mbele mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana ya kuainisha mipaka ya bahari.
-
Syria: Tutatumia haki yetu ya kisheria kujibu jinai za utawala haramu wa Israel
Sep 08, 2022 03:16Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imetangaza kuwa, mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Halab ni jinai za kivita na kwamba, Damascus itatumia haki yake ya kisheria kwa ajili ya kujibu jinai za utawala huo.
-
Kukiri jeshi la Israel kwamba, lilimuua Shireen Abu Akleh
Sep 07, 2022 03:59Jeshi la utawala haramu wa Israel limekiri kwamba, Shireen Abu Akleh, mwanahabari wa Kipalestina wa Televisheni ya al-Jazeera ya Qatar aliuawa shahidi kwa kupigwa risasi na mmoja wa wanajeshi wa utawala huo.
-
Katibu Mkuu wa Arab League: Iraq imefanikiwa kuzuia uchochezi
Sep 07, 2022 03:29Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) ameashiria baadhi ya mapigano ya hivi karibuni katika kivuli cha mivutano ya kisiasa huko Iraq na mbinu za viongozi wa nchi hiyo kwa lengo la kuhitimisha hali hiyo na kueleza kuwa: Iraq imeweza kudhibiti uchochezi nchini.
-
Afisa wa Hamas: Ukingo wa Magharibi umekuwa kitovu cha muqawama
Sep 06, 2022 23:27Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mji wa Jenin vimekuwa hifadhi na nguzo ya muqawama.
-
Syria: Vikwazo ndiyo aina mbaya zaidi ya ugaidi
Sep 06, 2022 21:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amevitaja vikwazo kama uhaini na aina mbaya zaidi ya ugaidi duniani.
-
Kuendelea mwenendo wa Uturuki wa kufufua uhusiano wake na Israel
Sep 06, 2022 21:52Baada ya miaka 15, sasa ndege za utawala haramu wa Israel zinaweza kufanya safari nchini Uturuki.
-
Operesheni za kupambana na jinai za Wazayuni zimeongezeka sana 2022
Sep 06, 2022 06:14Operesheni za kupambana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan zimeongezeka sana mwaka huu wa 2022.
-
HAMAS: Utawala wa Kizayuni lazima uadhibiwe kwa kumuua Abu Akleh
Sep 06, 2022 06:02Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesitna HAMAS amezungumzia ripoti ya jeshi la utawala wa Kizayuni baada ya utawala huo katili kumuua shahidi mwandishi Mpalestina, Shireen Abu Akleh na ametaka utawala huo dhalimu upewe adhabu kali.