-
Jibu la Pakistan kwa msimamo wa India kwamba Kashmir itaendelea kuwa sehemu ya ardhi yake
May 23, 2022 20:50Mwakilishi wa Pakistan katika Umoja wa Mataifa amepinga msimamo uliotangazwa na India kwamba eneo la Kashmir halitatenganishwa na ardhi ya nchi hiyo na akasisitiza kwa mara nyingine tena kuwa, Jamu na Kashmir haijawahi na wala katu haitakuwa sehemu ya India; na New Delhi haina haki yoyote katika eneo hilo.
-
Walowezi wa Kizayuni waendelea kuuhujumu Msikiti wa Al Aqswa
May 23, 2022 05:13Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Watangazaji wanawake Afghanistan wafunika nyuso baada ya kukaidi agizo la Taliban kwa siku moja
May 22, 2022 23:14Watangazaji wanawake wa televisheni nchini Afghanistan wameridhia kutangaza wakiwa wamefunika nyuso zao kulingana na agizo lililotolewa na serikali ya Taliban, baada ya kukaidi kufanya hivyo kwa muda wa siku moja.
-
Iraq yapinga Waarabu kutumia jina "nchi ya Israel" badala ya "utawala ghasibu wa Israel"
May 22, 2022 23:14Spika wa Bunge la Iraq amelalamikia jina la utawala wa Kizayuni lilivyotajwa katika taarifa ya mwishoni mwa mkutano wa umoja wa mabunge ya nchi za Kiarabu na kutaka libadilishwe.
-
Gazeti la Kizayuni: Israel imepoteza kikamilifu uwezo wa kuzuia mashambulio ya HAMAS
May 22, 2022 23:13Gazeti la Kizayuni la Maariv limekiri kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kukabiliana na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS.
-
Jihad al Islami: Muda mrefu sasa utawala wa Kizayuni haujaonja ushindi
May 22, 2022 06:28Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amesema kuwa, tangu baada ya vita vya siku sita vya 1967, jeshi la utawala wa Kizayuni halijawahi tena kuonja ladha ya ushindi dhidi ya mataifa ya Waislamu na Waarabu.
-
Reuters: Makabidhiano ya madaraka yamekaribia nchini Saudi Arabia
May 22, 2022 06:24Shirika la habari la Reuters limezinukuu duru za Saudi Arabia zikisema kuwa, hatua ya kuweko Abdul Aziz bin Ahmad katika msafara wa Mohammad bin Salman, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia alipotembelea Imarati hivi karibuni, ni ishara kwamba mchakato wa kukabidhiana madaraka umekaribia huko Saudia.
-
Bunge la Iraq: Tumeazimia kuzuia kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
May 22, 2022 03:29Spika wa Bunge la Iraq amesisitiza kuwa, taasisi hiyo imeazimia kuzuia kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel unaozikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Al-Houthi: Lengo la adui ni kudhoofisha mshikamano na nguvu za wananchi wa Yemen
May 22, 2022 03:26Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, lengo la adui ni kudhoofisha viini vyote vya mshikamano na nguvu za wananchi ili arahisishe njia ya kuwadhibiti.
-
Jeshi la Yemen latungua droni nyingine ya kijasusi ya Saudia mkoani Hajjah
May 22, 2022 00:08Msemaji wa majeshi ya Yemen ametangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kutungua droni - yaani ndege isiyo na rubani - ya kijasusi ya Saudi Arabia katika mkoa wa Hajjah.