-
Amir- Abdollahian aunga mkono uwepo wa wanawake wanadiplomasia katika nyadhifa za uongozi
Jan 10, 2023 11:52Hossein Amir- Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amebainisha wazi mtazamo wa chombo hicho cha diplomasia cha nchi kuhusu wanawake kuhudumu katika wizara hiyo, na kusisitiza mtazamo wa wizara hiyo katika kusaidia na kuwezesha uwepo wa ufanisi zaidi wa wanadiplomasia wa kike katika nyadhifa za uongozi ndani na nje ya nchi. • Feedback
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu dhulma za mfumo wa ubepari wa Magharibi kwa wanawake
Jan 05, 2023 05:31Ubepari wa Magharibi na demokrasia ya kiliberali, ambayo baada ya kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti mnamo 1991, kulingana na wanafikra wengine wa Magharibi kama vile Francis Fukuyama, iliushinda mfumo wa kikomunisti kama mfumo bora wa kisiasa na kiuchumi, na kutambuliwa kama mwisho wa historia, sasa unakabiliwa na matatizo makubwa na ya kimsingi.
-
Hali mbaya ya wanawake nchini Ufaransa; kielelezo cha unyanyasaji wa wanawake katika nchi za Magharibi
Dec 18, 2022 09:43Licha ya kuwa nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani siku zote zimekuwa zikidai kutetea haki za binadamu zikiwemo haki za wanawake, lakini tunapotazama takwimu na ripoti za vyombo vya habari katika uwanja huu tunakutana na taswira ya kutisha ya hali mbaya ya wanawake katika jamii za nchi za Magharibi.
-
Wizara ya Mambo ya Ndani Ufaransa yakiri: Wanawake nchini humo wana hali ngumu
Dec 18, 2022 04:12Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufaransa imetangaza kuwa haki za wanawake na nafasi zao vinakabiliwa na hali ngumu katika nchi hiyo.
-
Athari mbaya za vita vya Yemen kwa wanawake na watoto
Dec 08, 2022 02:20Waziri wa Afya wa serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa, wanawake na watoto wa nchi hiyo ndio wanaoathiriwa moja kwa moja na athari mbaya za vita vya Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya nchi hiyo.
-
Umoja wa Mataifa walaani Ufaransa kwa kupiga marufuku hijabu ya wanawake wa Kiislamu
Aug 06, 2022 03:50Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa karibuni na Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa Ufaransa imekiuka Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa kwa kumzuia mwanamke mmoja aliyekuwa amevalia hijabu kushiriki kwenye kozi ya elimu ya watu wazima iliyofanyika katika shule moja ya upili nchini humo.
-
Ayatullah Khatami: Wanawake Wairani wameweza kunawiri katika sekta zote wakiwa na Hijabu ya Kiislamu
Jul 29, 2022 10:50Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amesema kuwa, wanawake Wairani wameweza kunawiri katika sekta za kielimu, kisiasa, kiuchumi na usimamizi huku wakiwa wanazingatia Hijabu, vazi la staha la Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu: Mwanamke wa Kiirani ametoa pigo kubwa kwa uongo wa Ustaarabu wa Magharibi
Jul 27, 2022 12:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Mwanamke mwenye hadhi na kipaji cha Iran ametoa pigo kubwa na muhimu zaidi kwa madai na uongo ya ustaarabu wa Magharibi, na suala hilo limewakasirisha mno Wamagharibi.
-
Ershadi: Ugaidi na uvamizi wa kigeni ni vitisho vikubwa kwa usalama wa wanawake
Apr 14, 2022 07:01Zahra Ershadi, balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa: "Kuzikalia kwa mabavu ardhi za mataifa mengine, uvamizi wa kigeni na ugaidi ndio vitisho vikuu kwa usalama wa wanawake katika Asia Magharibi."
-
Ramaphosa: Afrika Kusini inakabiliwa na 'janga' la dhulma dhidi ya wanawake
Nov 23, 2021 07:27Rais wa Afrika Kusini amesema dhulma za kijinsia na ukandamizaji unaofanywa na wanaume dhidi ya wanawake ni 'janga' la pili linaloisumbua nchi hiyo kwa sasa, mbali na tandavu ya ugonjwa wa Covid-19.