Wakenya wafurahishwa na kufutwa baraza la mitihani KNEC
Mar 27, 2016 06:06 UTC
Asilimia kubwa ya raia wa Kenya wameunga mkono hatua ya Waziri wa Elimu nchini humo, kufuta Baraza la Mitihani la nchi hiyo (KNEC)
Rais hao wamesema wamefurahiwa na kile kilichosemwa na waziri huyo kuwa ni kupambana na ufisadi na uzembe usiovumilika katika baraza hilo. Hata hivyo baadhi ya raia wa nchi hiyo wamekosoa hatua hiyo na kudai kuwa kufuta baraza hilo pekee sio dawa mjarabu wa kumaliza ufisadi uliokita mizizi katika sekta zote nchini.
Ripoti zaidi na mwandishi wa Radio Tehran wa Mombasa Kenya, Seifullah Murtadha.
Tags