-
Ujumbe wa Hija wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu 1442 Hijria
Jul 19, 2021 09:05Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa ujumbe kwa Waislamu wote duniani kwa mnasaba wa siku hizi za Hija akisema kuwa kuendelea majonzi ya nyoyo za Waislamu wenye hamu kubwa ya kushiriki katika ugeni wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu ni mtihani wa muda na wa kupita.
-
Kumbukizi ya kuuawa shahidi Imam Muhammad Baqir (as)
Jul 18, 2021 01:01Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalum kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyouawa shahidi Imam Muhammad Baqir AS mmoja wa Maimamu watoharifu kutoka katika kizazi cha Bwana Mtume SAW.
-
Mashambulizi ya Israel dhidi ya waandishi na vyombo vya habari Ukanda wa Gaza
May 20, 2021 03:47Zaidi ya Wapalestina 230 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya kikatili ya Israel yaliyoanza yapata siku kumi zilizopita. Zaidi ya 63 kati ya waliouliwa shahidi ni watoto na karibu 40 ni wanawake.
-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Siku ya Kimataifa ya Quds 1442 Hijria
May 07, 2021 08:58Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu. Himidi zote ni za Mwenyezi Mungu mlezi wa walimwengu na rehema na amani ziwe kwa mtukufu Muhammad (s.a.w.w), hitimisho la Mitume, mbora wa viumbe wote na Ali zake watoharifu na masahaba wote walio wema na kila aliowafuata kwa wema mpaka siku ya malipo.
-
Kifo cha Bibi Khadija (as), mke mwema na kipenzi cha Mtume Muhammad (saw)
Apr 24, 2021 05:07Siku hiyo maradhi yalimzidia Bibi Khadija binti Khuwailid. Alikuwa akitafakari kuhusu njia ndefu iliyokuwa mbele yake.
-
Malengo ya kubaathiwa Mtume Muhammad SAW
Mar 09, 2021 23:54Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Leo hatutokuwa na kipindi cha BLW na badala yake tumekuandalieni makala maalumu ya kuzungumzia kubaathiwa na kupewa Utume Mtume Muhammad SAW. Hii ni siku muhimu sana katika ulimwengu mzima.
-
Kubadilishwa Kibla cha Waislamu, Tukio Kubwa na Muhimu
Mar 01, 2021 06:23Tukio la kubadilishwa kibla cha Waislamu kutoka Baitul Muqaddas na kuelekea Masjidul Haram linahesabiwa kuwa miongoni mwa matukio makubwa na yenye taathira kubwa sana katika historia ya Uislamu ambalo pia lilikuwa na athari nyingi za kustaajabisha.
-
Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama
Feb 24, 2021 05:16Tarehe 21 mwezi huu wa Februari ilisadifiana na Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama. Lugha, wapenzi wasikilizaji, ni kitu muhimu sana katika maisha ya kiumbe mwanadamu.
-
Sababu zilizoyafanya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yadumu
Feb 07, 2021 06:58Kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo kilele chake ni tarehe 22 Bahman (10 Februari), tumekuandalia makala hii maalumu itakayozungumzia sababu zilizoyafanya mapinduzi hayo yadumu licha ya kupita miongo minne tangu kutokea kwake.
-
Mapinduzi ya Kiislamu katika njia ya kuhuisha ustaarabu wa Kiislamu
Feb 07, 2021 03:25Licha ya kupitia milima na mabonde mengi, lakini kufikia sasa Jamhuri ya Kiislamu imefanikiwa kulinda nafasi na itibari yake ndani na nje ya nchi na ikiwa inaingia katika mwaka wake wa 42, imeongeza kasi yake kuelekea ustaarabu mpya wa Kiislamu.