-
Kusimama kidete Iran mbele ya vikwazo
Feb 06, 2021 04:06Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi maalum vinavyokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mpainduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Sera ya "Si Mashariki, Si Magharibi" katika mahubiri ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 02, 2021 08:18Makala hii itabainisha chimbuko na historia ya kaulimbiu na sera ya Si Mashariki, Si Magharibi katika mageuzi ya kifikra na kisiasa nchini Iran, duniani na katika mahubiri ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Juhudi za Iran za kuimarisha uthabiti, usalama na ushirikiano kati ya nchi za eneo
Feb 01, 2021 02:19Siasa za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu usalama wa eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) zimesimama juu ya msingi wa usalama wa pamoja. Ni kwa msingi huo ndipo ikaamini kuwa kuvurugwa usalama wa eneo ni kwa madhara ya nchi zote za eneo hili.
-
Katika Maktaba ya Qassim Suleimani (mwaka mmoja tangu kuuawa kwake shahidi)
Jan 02, 2021 05:29Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo.
-
Maytham al-Tammar; Kigezo cha Subira na Kusimama Kidete (Kumbukumbu ya kuuawa kwake shahidi)
Aug 12, 2020 08:57Assalaamu Alaykum Wapenzi Wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka kuuawa shahidi Maytham al-Tammar mmoja wa masahaba na wafuasi wa Mtume SAW na Imam bin Abi Talib AS ambaye aliondokea kuwa mashuhuri kutokana na Imani thabiti, subira na msimamo usiotetereka katika njia ya haki.
-
Mafundisho ya afya na usafi ya Uislamu, suluhisho la kukabiliana na corona
Jun 18, 2020 01:11Afya na siha ni neema kubwa ya Mwenyezi Mungu ambayo thamani yake huonekana vyema wakati mwanadamu anapopatwa na maradhi.
-
Khordad 15, siku ya harakati ya umwagaji damu ya wananchi mashujaa
Jun 02, 2020 03:09Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni katika kipindi hiki maalumu cha kuzungumzia tukio muhimu sana katika historia ya Mapinduzi ya Kiislamu na katika historia ya zama hizi ya Iran. Tukio hilo ni maarufu kwa jina la Khordad 15 kwa kalenda ya Kiirani ya Hijria Shamsia. Mwaka huu tarehe 15 Khordad, Hijria Shamsia inasadifiana na tarehe 4 Juni Milaadia. Leo tumeamua kusema machache kuhusu suala hilo.
-
Imam Khomeini, kiongozi wa nyoyo (maalumu kwa ajili ya ukumbusho wa kuaga dunia Imam - MA).
Jun 02, 2020 03:06Harakati ya Imam Khomeini (MA) ilitokana na maumbile safi ya mwanadamu, maumbile ambayo hayakinaishwi tu na mahitaji ya kimaasa na ladha za kidunia ambazo hupita na kumalizika haraka bali huitajia mahitaji mengine muhimu ambayo ni ya kiroho na kimaanawi.
-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu kwa mnasaba na Siku ya Kimataifa ya Quds
May 23, 2020 06:00Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo (Ijumaa) katika hotuba yake kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds amezungumzia suala la kuanza awamu mpya ya mapambano ya Palestina baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kudhihiri mrengo wa muqawama sambamba kubadilika mlingano wa nguvu kwa maslahi ya wanamapambano na ametoa miongozo saba muhimu kuhusu jinsi ya kuendeleza Jihadi kubwa na takatifu ya sasa.
-
Taathira za kisiasa, kijamii na kiuchumi za virusi vya COVID-19 (Corona)
Mar 28, 2020 04:06Katika kipindi cha sasa kadhia ya maambukizi ya virusi vya COVID-19 au Corona ndiyo gumzo na kadhia muhimu zaidi inayojadiliwa katika duru zote za kisiasa na vyombo vya mawasiliano ya kijamii na hata baina ya watu wa familia.