-
Virusi vya Corona na jinsi ya kukabiliana navyo
Mar 28, 2020 03:39Mwezi Disemba mwaka uliopita wa 2019 kuliripotiwa aina ya ugonjwa mkali wa matatizo ya kupumua katika mji wa Wuhan nchini China.
-
Katika Mwangwi wa Fikra za Imam Baqir (AS), kwa Mnasaba wa Kuzaliwa Mtukufu Huyo
Feb 25, 2020 05:16Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Siku ya mwanzo ya mwezi wa Rajab, mwezi mtukufu wa Mwenyezi Mungu, ambao ameufanya wasila na wenzo wa kumuunganisha mja na Yeye Mola Muunmba imesadifiana na imezidishiwa baraka zake kwa kuzaliwa Ahlul-Bayt mwingine wa Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama
Feb 21, 2020 06:36Tarehe 21 Februari inasadifiana na Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama.
-
Mgogoro wa virusi vya Corona Duniani
Feb 12, 2020 08:32Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika kipindi cha Makala ya Wiki ambacho leo kitatupia jicho mgogoro uliosababishwa na virusi vya Corona ambavyo vinaendelea kuua watu na kusambaa katika nchi mbalimbali duniani. Ni matarajio yangu kwamba ntakuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki.
-
Kilele cha maadhimisho ya miaka 41 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 10, 2020 05:12Assalamu Alaykum mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Nakukaribisha kutegea sikio mfululizo huu wa vipindi maalumu tulivyokuandalia kwa mnasaba wa kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kufuata kigezo cha Qur'ani katika kupambana na Uistikbari
Feb 04, 2020 01:14Assalamu Alaykum mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Nakukaribisha kutegea sikio mfululizo mwengine wa vipindi maalumu tulivyokuandalia kwa mnasaba wa kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ambapo leo tutazungumzia namna mapinduzi hayo yanavyofuata kigezo cha mafundisho ya Qur'ani kwa ajili ya kupambana na Uistikbari duniani. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Fatimatu Zahra katika Suratu Dahr (Insan)
Feb 02, 2020 04:17Wanahistoria na wapokezi wa hadithi wameandika kuwa, siku moja Hassan na Hussein wajukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw) walipatwa na maradhi wakiwa watoto wadogo.
-
Imani na kumtegemea Mwenyezi Mungu; siri ya ushindi na kudumu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 01, 2020 03:25Ni matumaini kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi, ambacho ni kipindi cha tangu kurejea Imam Khomeini kutoka uhamishoni hadi kupatikana ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Kipindi maalumu cha ukumbusho wa kuuawa shahidi Bibi Fatiimah AS
Jan 27, 2020 07:28Mji mtakatifu wa Madina ulikuwa ungali unaomboleza kifo cha Mtume Mtukufu wa Uislamu (saw) ambapo msiba mwingine mkubwa uliukumba mji huo kutokana na kifo cha kushtua cha binti yake mwema Bibi Fatwimat az-Zahra (as).
-
Bibi Fatimatu al Zahra (as) katika Ayatu Tat'hir
Jan 15, 2020 07:49إِنَّما یُرِیدُ اللَّهُ لِیُذْهِبَ عَنْکُمُ الرِّجْسَ أَهْلَ الْبَیْتِ وَ یُطَهِّرَکُمْ تَطْهِیراً