Makala Mchanganyiko
  • Siku ya Kimataifa ya Mshikamano wa Binadamu

    Siku ya Kimataifa ya Mshikamano wa Binadamu

    Jan 13, 2020 10:26

    Azimio la Milenia la Umoja wa Mataifa limeutangaza mshikamano kuwa ni miongoni mwa thamani za kimsingi katika mahusiano ya kimataifa katika karne ya 21.

  • Sheikh Zakzaky na dhulma za kimyakimya dhidi ya Waislamu wa Nigeria

    Sheikh Zakzaky na dhulma za kimyakimya dhidi ya Waislamu wa Nigeria

    Jan 13, 2020 10:26

    Nigeria ina historia ya ukandamizaji wa harakati za Kiislamu. Ukatili, mauaji na ukandamizaji wa harakati za Kiislamu nchini Nigeria vilishadidi zaidi mwaka 2011.

  • Jenerali apaa na kukumbatiwa na Malaika

    Jenerali apaa na kukumbatiwa na Malaika

    Jan 12, 2020 08:48

    مِنَ الْمُؤْمِنِینَ رِجَالٌ صَدَقُوا مَا عَاهَدُوا اللَّهَ عَلَیْهِ فَمِنْهُمْ مَنْ قَضَى نَحْبَهُ وَمِنْهُمْ مَنْ یَنْتَظِرُ وَمَا بَدَّلُوا تَبْدِیلًا

  • Kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Bibi Zainab AS

    Kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Bibi Zainab AS

    Dec 31, 2019 03:42

    Bibi Zainab (sa) alijipamba kwa sifa na fadhila nyingi nzuri na za kupigiwa mfano kadiri kwamba sifa hizo bora zilimfanya kuwa bibi mwema aliyepaswa kuigwa na watu wengine. Alikuwa na tabia, fadhila na maadili mema mengi yaliyofanya kuwa na sifa za kipekee miongoni mwa watu na jamii aliyoishi ndani yake.

  • Siku ya Kimataifa ya Kujitolea na Ustawi wa Kiuchumi na Kijamii

    Siku ya Kimataifa ya Kujitolea na Ustawi wa Kiuchumi na Kijamii

    Dec 07, 2019 05:42

    Kusaidia na kutoa huduma kwa wanadamu wenzako ni miongoni mwa sifa na vigezo vyenye thamani kubwa vya maisha ya binadamu.

  • Kuchomoza jua la kumi na moja (Kuzaliwa Imam Hasan al Askari AS)

    Kuchomoza jua la kumi na moja (Kuzaliwa Imam Hasan al Askari AS)

    Dec 04, 2019 10:04

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika makala hii ambayo tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam wa 11 kutoka kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume Muhammad SAW, Imam Hasan al Askari AS. Tutajaribu kutupia jicho kwa muhtasari ushahidi na sababu za udharura wa kuweko Imam wakati wote katika jamii kama ambavyo aidha tutazitumia dakika hizi chache kugusia sira za mtukufu huyo na miongozo yake mitukufu.

  • Wiki ya Umoja wa Kiislamu-4: Nafasi ya Umoja katika kuepusha chuki dhidi ya Uislamu

    Wiki ya Umoja wa Kiislamu-4: Nafasi ya Umoja katika kuepusha chuki dhidi ya Uislamu

    Nov 11, 2019 07:03

    Katika ulimwengu wa leo chuki dhidi ya Uislamu, au kwa jila la kiingereza Islamophobia, ni jambo linalopewa uzito na kuenezwa kwa namna maalumu katika vyombo vya habari vya nchi za Magharibi.

  • Wiki ya Umoja wa Kiislamu-3: Fursa ya Kuimarisha Mazingira ya Kupatikana Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Wiki ya Umoja wa Kiislamu-3: Fursa ya Kuimarisha Mazingira ya Kupatikana Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Nov 11, 2019 04:28

    Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha Wiki ya Umoja, sambamba na kusherehekea kuzaliwa mbora wa viumbe Bwana Mtume Muhammad SAW. Endeleeni kuwa nami basi hadi tamati ya kipindi kutegea sikio yale niliyokuandalieni kwa leo.

  • Wiki ya Umoja wa Kiislamu-2  (Ruwaza Njema)

    Wiki ya Umoja wa Kiislamu-2 (Ruwaza Njema)

    Nov 11, 2019 04:26

    Alipozaliwa alipewa jina la Muhammad lenye maana ya msifiwa. Jina hili hakuwahi kupewa kiumbe mwingine kabla yake yeye. Jina hilo, kama alivyokuwa yeye mwenyewe, liliteuliwa na Mwenyezi Mungu Muweza na lilitajwa katika vitabu vya Mitume waliotangua.