Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Vipindi
  • Hifadhi
  • Darsa ya Qur'ani
  • Frikwensi
  • Tovuti Kongwe
  • Hifadhi
  • iPhone
  • Pakua
  • Frikwensi

Palestina, kadhia kuu ya Waislamu

Nov 19, 2023 06:26 UTC
Vipindi Vingine
  • Mchango wa Maulamaa wa Kishia katika Uislamu
    Mchango wa Maulamaa wa Kishia katika Uislamu
  • Maswali yetu na majibu ya Thaqalayn
    Maswali yetu na majibu ya Thaqalayn
  • Uislamu
    Uislamu
  • Mitandao ya Kijamii
    Mitandao ya Kijamii
  • Hakika ya Uwahabi
    Hakika ya Uwahabi
  • Sibtain katika Qur'ani na Hadithi
    Sibtain katika Qur'ani na Hadithi
  • Podcast Swahili
    Podcast Swahili

  • 9
    Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu 9
    Assalaama Aeykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni kusikiliza kipindi kingine cha Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu. Kufuatia mapambano ya Izzuddin Qassam, mapambano ya Kiislamu ya Palestina yalipata msukumo, uhai na azma mpya kwa akili ya kupambana na uchokozi na uvamizi wa Wazayuni.
  • 8
    Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu 8
    Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni kusikiliza sehemu nyingine ya makala hii ya Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu. Katika kipindi cha leo tutazungumzia matukio ya ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu tangu wakati wa himaya ya Uingereza katika ardhi hiyo hadi wakati wa kutokea Intifadha ya taifa la Palestina dhidi ya wavamizi wa utawala wa Kizayuni.
  • 7
    Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu 7
    Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Tukiwa bado tunaendelea kujadili kwa kifupi historia ya Palestina, leo tutazungumzia nafasi ya Uingereza katika kubuniwa utawala haramu wa Israel katika ardhi za Wapalestina kupitia Azimio la Balfour, karibuni.
  • 6
    Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu 6
    Assalaam Alaykum wpenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Katika kipindi cha leo tutajadili kwa kifupi historia ya ardhi ya Palestina tokea karne za kati hadi wakati wa kuasisiwa harakati ya Mayahudi katika karne ya 19 Miladia, karibuni.
  • 5
    Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu 5
    Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili , Sauti ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Kipindi cha juma hili kinajadili suala la Waislamu kukombola ardhi ya Palestina na mji wa Beitul Muqaddas, karibuni.
  • 4
    Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu 4
    Assalaam alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya mnayoitegea sikio kutoka mjini Tehran. Katika vipindi vitatu vilivyopita tulizungumzia kwa kifupi historia ya ardhi ya Palestina. Katika kipindi chya leo tutazungumzia sehemu nyingine muhimu ya historia hiyo, karibuni.
  • 3
    Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu 3
    Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Tunaendelea kuzungumzia kwa ufupi historia ya ardhi ya Palestina kabla ya kudhihiri dini ya Uislamu. Tunakuombeni muwe pamoja nasi hadi mwisho wa kipindi, karibuni.
  • 2
    Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu (2)
    Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na karibuni kusikiliza sehemu ya pili ya kipindi cha Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu.
  • 1
    Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu (1)
    Katika kikao chake na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pamoja na mabalozi wa nchi za Kiislamu tarehe 18 Februari mwaka huu, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran alisema suala la Palestina ni moja ya masuala muhimu zaidi ya ulimwengu wa Kiislamu. Alisema hali ya kusikitisha na kuhuzunisha ya hivi sasa huko Palestina ni matokeo ya kupuuzwa suala hilo na baadhi ya nchi za Kiislamu.
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS