-
Wiki ya Umoja wa Kiislamu-1 (Mtindo wa Maisha ya Mtume SAW Katika Familia)
Nov 09, 2019 03:46Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizajii popote pale mlipo. Tumo katika siku tukufu za sherehe za kuadhimisha maulidi na kuzaliwa Mtume Muhammad (saw).
-
Maana ya kumsalia Mtume SAW na Sheikh Abdul Razzak Amir Juma wa Arusha Tanzania (SAUTI)
Nov 07, 2019 03:45Tumo ndani ya mwezi uliojaa baraka, mwezi mtukufu wa Mfunguo Sita, mwezi ambao ndio hushamiri na kuongezeka mno Maulid ya Bwana Mtume Muhammad SAW. Ni mwezi aliozaliwa mtukufu huyo wa daraja. Hapa tumekuwekeeni mawaidha maalumu kutoka kwa Sheikh Abdul Razzak Amir Juma wa Arusha Tanzania kuzungumzia namna ya kumsalia Mtume ikiwa ni sehemu ya mfululizo wa vipindi vyetu maalumu vya Mfunguo Sita.
-
Kuuawa shahidi Imam Hassan Askari (as)
Nov 04, 2019 06:31Imam Hassan Askari (as) aliuawa shahidi mwaka 260 Hijiria sawa na mwaka 873 Miladia kutokana na njama iliyofanywa katika siku kama hizi na mmoja wa watawala dhalimu wa Bani Abbas.
-
Hijra ya Mtume (saw) kutoka Makka hadi Madina
Oct 30, 2019 06:49Jumatano ya wiki hii tarehe Mosi Mfunguo Sita Rabiul Awwal ilisadifiana na siku ya Hijra ya Mtume wetu Muhammad (saw) kutoka Makka na kuhamia Madina na inakumbusha tukio maarufu la "Lailatul Mabiit', usiku ambao ndani yake Amirul Muuminin Ali bin Abi Twalib (as) alisabilia nafsi yake kwa kulala katika kitanda cha Mtume wakati mtukufu huyo alipoondoka Makka akielekea Madina.
-
"Lulu ya Marw"; Kwa Mnasaba wa Kufa Shahidi Imam Ali Ibn Musa Ridha (AS)
Oct 28, 2019 08:27Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Katika siku ya mwisho ya mwezi wa Safar na katika siku ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam wa Nane wa Waislamu wa madhehebu ya Shia, mtukufu Ali Ibn Musa Ridha (as), haram ya Imam huyo mkarimu katika mji mtukufu wa Mashhad, imefurika umati wa wafanyaziara na wakazi wa jirani yake, waliosalia nyuma ya msafara wa ziara ya Karbala, ambao kwa kuikosa fursa hiyo adhimu, wamekimbilia kwenye haram ya Imam na maulana wao, Ali Ibn Musa Ridha (as).
-
Sheikh Maulid Hussein Kundya na kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Husain AS - Sauti
Oct 21, 2019 08:41Mwaka huu kama ilivyo miaka mingine yote, kumbukumbu za Arubaini ya Imam Husain AS zimefanyika kwa kufana mno katika kona zote za dunia. Hapa tumekuwekea mawaidha ya Sheikh Maulid Hussein Kundya wa Arusha Tanzania kuhusu masaibu wa Imam Husain AS huko Karbala katika mwaka wa 61 Hijria.
-
Mahojiano maalumu ya Salum Bendera na baadhi ya mazuwwar katika Mashaya (matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein as)
Oct 20, 2019 04:38Katika miaka ya hivi karibuni Mashaya (matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein as) yamechukua mkondo mpana zaidi ambapo mamilioni ya Waislamu na wasiokuwa Waislamu hushiriki katika kumbukumbu hii.
-
Historia ya Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS
Oct 20, 2019 04:03Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji wa Radio Tehran, Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo hususan huko nyumbani Afrika Mashariki.
-
Kujibu upotoshaji wa BBC, Arubaini ya Imam Husain AS si kueneza ukahaba + Sauti
Oct 17, 2019 08:00Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuhu. Wapenzi wasikilizaji, neno mashaya hivi sasa limeingia katika msamiati wa kidini na kupata nguvu hasa kati ya jamii ya Waislamu ya wapenzi na maashiki wakubwa wa Ahlul Bayt wa Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Kufa shahidi Hadhrat Ruqayyah binti Hussein (as)
Oct 15, 2019 07:34Tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria ilitokea hamasa na mapambano makubwa yatakayobakia hai katika historia ya mwanadamu.