Makala Mchanganyiko
  • Hidaya ya kubaathiwa Mtume Mtukufu SAW

    Hidaya ya kubaathiwa Mtume Mtukufu SAW

    May 04, 2016 07:22

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji, na karibuni kujumuika nasi katika dakika hizi chache za kipindi kingine maalumu ambacho hii leo kitazungumzia mantiki na mapambano dhidi ya hurafa, ambayo ni hidaya na zawadi ya kubaathiwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW).

  • Siku ya Taifa ya Ghuba ya Uajemi; kuulinda ukweli wa kudumu wa historia

    Siku ya Taifa ya Ghuba ya Uajemi; kuulinda ukweli wa kudumu wa historia

    May 01, 2016 03:45

    Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine cha Makala ya Wiki ambayo kwa wiki hii ninaianza kwa utangulizi ufuatao.

  • Kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Imam Ali AS

    Kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Imam Ali AS

    Apr 20, 2016 06:41

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika kipindi hiki maalumu ambacho tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Abi Talib AS. Siku hii kwa hapa nchini Iran inajulikana pia kwa jina la Siku ya Baba.

  • Palmyra, Lulu ya Jangwani, kabla na baada ya kuhujumiwa na ISIS

    Palmyra, Lulu ya Jangwani, kabla na baada ya kuhujumiwa na ISIS

    Apr 20, 2016 01:45

    Jeshi la Syria hivi karibuni liliukomboa mji wa kale wa Palmyra au Tadmur kutoka kwa kundi la magaidi wakufurishaji wa ISIS au Daesh. Makala yetu ya leo itaangazia kwa kifupi kuhusu mji huo muhimu na wa kihistoria nchini Syria

  • Malengo na mbinu za Wamagharibi katika kueneza chuki dhidi ya Iran na Uislamu

    Malengo na mbinu za Wamagharibi katika kueneza chuki dhidi ya Iran na Uislamu

    Apr 20, 2016 01:33

    Baada ya kusambaratika mfumo wa ncha mbili wa kambi za Magharibi na Mashariki, jumuiya ya kimataifa ingali katika kipindi cha mpito. Katika kipindi hiki cha mpito, nchi za Magharibi zinazodai kuwa na utamaduni bora zinadai kuwa kufuatia kusambaratika mfumo wa Kikomunisti, hakuna tena chaguo jngine isipokuwa Demokrasia ya Kiliberali katika dunia.

  • Watoto na wanawake wa Yemen na Nyoyo zilizojaa machungu

    Watoto na wanawake wa Yemen na Nyoyo zilizojaa machungu

    Apr 15, 2016 22:11

    Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika makala hii ya kila wiki ambayo kwa kawaida huwa inatupia jicho matukio mbalimbali muhimu yaliyojiri katika kipindi cha juma zima. Leo tumekuandalieni makala fupi chini ya kichwa cha maneno kisemacho: Watoto na Wanawake wa Yemen na Nyoyo Zilizojaa Machungu, tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa makala hii.

  • Siku ya taifa ya teknolojia ya nyuklia

    Siku ya taifa ya teknolojia ya nyuklia

    Apr 09, 2016 09:56

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Ni wakati mwengine umewadia wa kuwa nanyi katika kipindi hiki cha Makala ya Wiki ambacho kwa wiki hii kitazungumzia Siku ya Taifa ya Teknolojia ya Nyuklia, inayoadhimishwa hapa nchini tarehe 9 Aprili, inayosadifiana na tarehe 20 Farvardin, kulingana na kalenda ya Hijria Shamsia. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi kusikiliza niliyokuandalieni kwa mnasaba huo.

  • Imam Baqir AS Chimbuko la Elimu na Maarifa

    Imam Baqir AS Chimbuko la Elimu na Maarifa

    Apr 09, 2016 07:57

    Mwaka 57 baada ya hijra ya Mtume SAW kuelekea Madina, katika siku ya kwanza ya mwezi uliojaa fadhila wa Rajab, ulimwengu ulipambazuka kwa kuzaliwa nuru. Katika siku hii yenye baraka, Mtoto kutoka Nyumba ya Mtume Muhammad SAW alizaliwa na sawa na Ahlul Bayt wengine wa Mtume SAW, akawa tawi katika matawi maridadi katika historia ya Uislamu. Yeye ni mwana wa Imam Sajjad AS na ni maarufu kwa jina la Baqir.

  • Aprili Mosi, Siku ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Aprili Mosi, Siku ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Mar 30, 2016 10:54

    Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Leo tumeamua kukuandalieni makala fupi kuzungumzia tukio la mwaka 1979 la wananchi wa Iran la kutumia haki yao ya kidemokrasia ya kujiamulia wenyewe mfumo wanaoutaka wa utawala, ambapo kwa kauli moja waliamua mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu yaani mfumo unaotegemea maoni ya wananchi lakini kwa misingi ya dini tukufu ya Kiislamu, uwaongoze.