-
Maingiliano ya Marekani na Iran mwaka mmoja uliopita
Mar 30, 2016 02:10Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii itakayoangazia kwa kifupi maingiliano baina ya Iran na Marekani katika mwaka uliopita wa 1394 Hijria Shamsia.
-
Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Bibi Fatimatuz Zahra SA
Mar 29, 2016 12:45Tarehe 20 Jamadu Thani Hijiria imepambwa kwa uzawa wa Bibi Fatimat az-Zahra (sa) Binti ya Mtume Mtukufu (saw). Uzawa wa mtukufu huyo lilikuwa tukio muhimu lililotokea katika miaka ya ujumbe wa Mtume (saw).
-
Dunia yakumbuka siku ya ubaguzi wa rangi
Mar 24, 2016 02:01Wapenzi wasikilizaji wiki hii tarehe 21 Machi ilikuwa ni siku ya kutokomeza ubaguzi wa rangi duniani. Siku hii hukumbukwa kwa mnasaba wa mauaji ya waandamanaji wazalendo Waafrikadhidi ya ubaguzi wa rangi, mjini Sharpeville, Afrika Kusini, tarehe 21, Machi, mwaka 1960. Katika tukio hilo, waandamanaji wapatao 60 walipigwa risasi na kuuawa na polisi wa utawala wa makabaru waliokuwa wakitawala nchi hiyo. Karibuni......@
-
Tarehe 29 Esfand, Siku ya Kutaifishwa Sekta ya Mafuta Iran
Mar 18, 2016 03:00Tarehe 29 Isfand mwaka 1329 Hijria Shamsia sawia na Machi 20 1950 ni moja ya siku zenye kukumbukwa katika historia ya mapambano ya taifa la Iran na madola ya kibeberu.
-
Historia fupi ya Nairuzi
Mar 18, 2016 02:51Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Jumapili ya tarehe 20 Machi mwaka huu inasadifiana na kuanza mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia. Ni sherehe za kale na za muda mrefu ambao matawi yake yameenea katika kona mbalimbali za dunia hadi Afrika Mashariki. Asili ya sherehe za Mwakakongwa huko Makunduchi visiwani Zanzibar, ni sherehe hizo za Nairuzi za nchini Iran.
-
Uhusiano wa Iran na Afrika mwaka moja uliopita
Mar 17, 2016 03:50Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika kipindi hiki maalumu ambacho kitaangazia kwa kifupi baadhi ya nukta kuhusu uhusiano wa Iran na nchi za Afrika katika kipindi cha mwaka moja uliopita.
-
Kumbukumbu ya Kufa Shahidi Bibi Fatima Zahra AS
Mar 12, 2016 13:27Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatima Zahra (a.s) binti mtukufu wa Bwana Mtume (s.a.w) na mwanamke bora duniani na akhera, mwanamke ambaye ni kigezo na ruwaza njema.
-
Kuaga dunia Farajollah Salahshoor, muongozaji wa filamu za kidini
Mar 09, 2016 08:27Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki cha Makala ya Wiki ambacho katika jumla hili kitamzungumzia mwongozaji filamu mashuhuri wa filamu za kidini Farajollah Salahshoor, pamoja na athari za tasnia ya filamu zilizoachwa na msanii huyo aliyeaga dunia wiki mbili zilizopita. Ni matumaini yangu kuwa mtaendelea kuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki.
-
Oscar, Hollywood na ubaguzi wa rangi
Mar 09, 2016 08:05Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi katika Makala ya Wiki. Kipindi chetu leo kitatupia jicho ubaguzi unaofanyika nchini Marekani hususan katika sekta ya filamu ya Hollywood.
-
Bahman 22 dhihirisho la nguvu za taifa la Iran
Feb 11, 2016 11:47Tarehe 11 Februari ni siku ya kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu maarufu kwa sherehe za Bahman 22 nchini Iran. Leo (Alkhamisi) Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yameadhimisha miaka 37 ya tangu kupata kwake ushindi tarehe 11 Februari 1979.