-
Nafasi ya Mapinduzi ya Kiislamu katika kuleta umoja katika umma wa Kiislamu + SAUTI
Feb 09, 2016 05:27Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki kingine maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran. Leo tutajaribu kuangazia nafasi ya mapinduzi hayo katika kuleta umoja na mshikamano katika umma wa Kiislamu tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa makala hii.
-
Mapinduzi ya Kiislamu na moyo wa kujiamini
Feb 08, 2016 14:50Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya makala hizi maalumu zinazokujieni kwa mnasaba wa siku hizi za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Ni matumaini yetu kwamba mtaendelea kuwa kando ye redio zenu kusikiliza tuliyokuandalieni.
-
Mapinduzi ya Kiislamu na Sanaa ya Kiislamu
Feb 07, 2016 05:23Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi kingine maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. Kipindi hiki kinakujieni moja kwa moja kupitia Idhaa ya Kiswahili, Saut ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mchango wa Iran katika kuunga mkono kambi ya muqawama na kupambana na ugaidi wa kimataifa
Feb 07, 2016 05:12Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nami katika mfululizo mwengine wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ambapo leo tutazungumzia Mchango wa Iran katika kuunga mkono kambi ya muqawama na kupambana na ugaidi wa kimataifa. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi kusikiliza niliyokuandalieni katika mfululizo huu.
-
Nafasi ya msikiti wakati wa kutokea Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 07, 2016 05:01Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hususan huko nyumbani AfrikaMashariki. Ninakukaribisheni mjiunge nami katika kipindi hiki maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa masiku haya adhimu ya kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran uliopatikana mwaka 1979 kwa uongozi wa hekima na busara wa Imam Ruhullah Musawi al-Khomeini (r.a).
-
Fikra ya Mapinduzi ya Kiislamu mkabala na fikra ya Ukufurishaji na Utovu wa kufikiri
Feb 06, 2016 09:34Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nami katika mfululizo huu wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ambapo leo tutazungumzia Fikra ya Mapinduzi ya Kiislamu mkabala na fikra ya Ukufurishaji na ya Utovu wa kufikiri. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi kusikiliza niliyokuandalieni katika mfululizo huu.
-
Kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyofariki dunia bibi Maasuma AS
Feb 05, 2016 04:39Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyofariki dunia Bibi Fatima al Maasuma, Alayha Salam, mmoja wa wajukuu wa Mtume Mtukufu SAW
-
Umoja katika mtazamo wa Imam Khomeini (MA) na Ayatullah Khamenei
Feb 05, 2016 02:48Uislamu umeufanya umoja kuwa jambo la wajibu na lazima miongoni mwa Waislamu na waumini na dini nyinginezo za mbinguni zinazomwamini Mwenyezi Mungu Mmoja. Uzito wa jambo hili unaonekana wazi katika aya za Qur'ani Tukufu na riwaya zilizopokelewa kutoka kwa Maimamu Maasumu (as). Mwenyezi Mungu Mtukufu anasema katika aya ya 103 ya Surat Aal Imran kitabu hicho kitakatifu: Na shikamaneni na Kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarikiane. Na kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu juu yenu mlipokuw
-
Mkutano wa 29 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu
Feb 05, 2016 02:46Mkutano wa 29 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unaendelea hapa mjini Tehran katika siku yake ya pili leo ukishirikisha wanazuoni, wanafikra na wasomi kutoka nchi 70 duniani. Mkutano huo unafanyika wakati ulimwengu wa Kiislamu ukikabiliana na changamoto kubwa ya ugaidi na haja kubwa ya kuimarisha umoja na mshikamano kati ya Waislamu.
-
Imam Khomeini na kubadilishwa fikra ya mwamko wa Kiislamu kuwa mwenendo wa Kisiasa
Feb 03, 2016 03:50Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran kwa uongozi wa Imam Khomeini (MA) na kuanzishwa kwa serikali iliyosimama juu ya msingi wa mafundisho ya Uislamu halisi, ulifungua ukurasa mpya katika ulimwengu wa siasa.