43
Mchakato wa Chanjo ya COVID-19 ya Iran, Coviran Barekat
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya mafanikio katika uga wa sayansi, tiba na teknoloaji nchini Iran na maeneo mengine duniani. Ni matumaini yangu kuwa mtaweza kunufaika.