31
Kongamano la Saba la Kimataifa la Robotiki na Mekatroniki lafanyika Iran
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ya 102 ambayo huangazia baadhi ya matukio muhimu kuhusu sayansi na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani. Ni matumaini yangu kuwa utaweza kunufaika.