-
Hadithi ya Uongofu (132)
Nov 03, 2018 11:38Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo huu wa Hadithi ya Uongofu. Kama tulivyoashiria katika vipindi vyetu vilivyotangulia, kipindi hiki hujadili maudhui mbalimbali za kijamii, kimaadili, kidini na kadhalika na kukunukulieni hadithi zinazohusiana na maudhui hizo kutoka kwa Bwana Mtume SAW na Maimamu watoharifu AS.
-
Hadithi ya Uongofu (131)
Nov 03, 2018 11:30Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo huu wa Hadithi ya Uongofu. Kama tulivyoashiria katika vipindi vyetu vilivyotangulia, kipindi hiki hujadili maudhuui mbalimbali za kijamii, kimaadili, kidini na kadhalika na kukunukulieni hadithi zinazohusiana na maudhui hizo kutoka kwa Bwana Mtume SAW na Maimamu watoharifu AS.
-
Hadithi ya Uongofu (130)
Nov 03, 2018 11:24Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu kilichopita kilizungumzia suala la kupeana mikono, umuhimu wake na jinsi lilivyotiliwa mkazo katika Uislamu.
-
Hadithi ya Uongofu (127)
Oct 07, 2018 11:19Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu kilichopita kilijadili na kuzungumzia suala la kutunza na kufichua siri.
-
Hadithi ya Uongofu (126)
Sep 09, 2018 10:16Ni wasaa na wakati mwingine wapenzi wasikilizaji wa kujiunga nami katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu.
-
Hadithi ya Uongofu (125)
Sep 09, 2018 10:03Ni wakati mwingine mpenzi msikilizaji wa kujiunga nami katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu.
-
Hadithi ya Uongofu (124)
Sep 09, 2018 09:59Ni matumaini yangu kuwa hamjambo mpenzi msikilizaji na karibuni kujiunga nami tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu.
-
Hadithi ya Uongofu (106)
Jan 24, 2018 13:33Ni wasaa na wakati mwingine mpenzi msikilizaji wa kujiunga nami katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu cha juma lililopita kilizungumzia maudhui ya hila na udanganyifu.
-
Hadithi ya Uongofu (96)
Jan 24, 2018 13:07Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu, kipindi ambacho hukujieni siku na wakati kama huu kutoka hapa Tehran, Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Hadithi ya Uongofu (105)
Jan 21, 2018 10:43Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu cha juma lililopita kilizungumzia suala la kupatana na kumaliza ugomvi baina ya watu waliohasimiana.