-
Hadithi ya Uongofu (40)
May 08, 2016 10:48Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji. Tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kuchunguza na kupeleleza aibu za wengine ni miogoni mwa tabia mbaya na chafu ambayo huleta hali ya kutoelewana katika jamii na huondoa amani na utulivu wa mtu.
-
Hadithi ya Uongofu (39)
Apr 17, 2016 12:14Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Vipindi vyetu vitatu vilivyotangulia tulikunukulieni baadhi ya hadithi zinazohusiana na kuona haya na soni.
-
Hadithi ya Uongofu (38)
Apr 14, 2016 19:30Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Katika kipindi chetu kilichopita, tulizungumzia maudhui ya haya au soni na kueleza jinsi sifa hii ilivyo na taathira kubwa katika masuala mbalimbali maishani. Tulisema katika kipindi chetu cha juma lililopita kwamba, kama taathira ya haya au aibu isingekuwepo basi mgeni asingeheshimiwa na wala utekelezaji wa ahadi usingezingatiwa.
-
Hadithi ya Uongofu (37)
Apr 10, 2016 11:56Ni matumaini yangu kwamba, hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Tunakutana tena katika sehemu nyingine ya mfululizo huu wa Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu cha juma lililopita kilizungumzia kuwa na haya na soni na jinsi sifa hii ya kimaadili ilivyo na umuhimu katika kumzuia mtu kutenda dhambi na mambo machafu.
-
Hadithi ya Uongofu (36)
Apr 06, 2016 11:29Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hii cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu cha leo kitazungumzia kuwa na haya na soni na kukunukulieni baadhi ya hadithi za Bwana Mtume saw na Maimamu watoharifu (a.s) kuhusiana na suala hili. Kuweni nami hadi mwisho wa dakika hizi chache ili kutegea sikio niliyokuandalieni kwa leo, hii ikiwa ni sehemu ya 36 ya mfululizo huu.
-
Hadithi ya Uongofu (35)
Mar 07, 2016 12:22Ni wasaa na wakati mwingine wapenzi wasikilizaji wa kujiunga nami tena katika kipindi kingine cha Hadithi ya Uongofu. Juma lililopita kipindi chetu kilizungumzia baadhi ya sababu zinawafanya watu licha ya kuwa na uwezo huamua kujizuia na kutowasaidia wenzao wenye kuhitaji msaada iwe wa kimaada au kimaanawi.
-
Hadithi ya Uongofu (34)
Mar 07, 2016 12:19Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji ni wasaa mwingine wa kujiunga nami katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu.
-
Hadithi ya Uongofu (33)
Feb 23, 2016 11:08Assalaamu Alaykum Karibuni kujiunga nami tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Katika vipindi vyetu kadhaa vilivyopita tulinukuu baadhi ya hadithi zinazohusiana na kutatua shida na matatizo ya watu na kuashiria baadhi ya mifano ya utatuzi wa shida za watu katika jamii. Kipindi chetu cha wiki hii kitazungumzia mfano mwingine lakini mara hii ukiwa ni mfano wa kimaanawi wa kuwasaidia watu wengine ambao ni kumpatia mtu mwongozo na kumuongoza na kumnasihi.
-
Hadithi ya Uongofu (31)
Feb 23, 2016 11:06Ni wasaa na wakati mwingine wapenzi wasikilizaji wa kuwa nanyi katika kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Katika kipindi chetu kilichopita nilikunukulieni baadhi ya hadithi zinazohusiana na kutatua shida za watu na athari zinazopatikana kwa mtu anayefanya amali hiyo inayopendwa na Mwenyezi Mungu. Sehemu ya 31 ya kipindi hiki juma hili itazungumzia baadhi ya nukta ambazo anapaswa kuzizingatia yule anayefanya amali hii yaani ya kumsaidia mtu na kutatua shida na matatizo yake.
-
Hadithi ya Uongofu (30)
Feb 05, 2016 07:19Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kama mnakumbuka, kipindi chetu cha wiki iliyopita kilijadili na kuzungumzia suala la kutatua shida za watu na jinsi jambo hilo lilivyotiliwa mkazo katika Uislamu.