-
Ijumaa, tarehe 11 Aprili, 2025
Apr 11, 2025 02:09Leo ni Ijumaa tarehe 12 Shawwal 1446 Hijria sawa na tarehe 11 Aprili 2025.
-
Jumatano, tarehe Pili Aprili, 2025
Apr 02, 2025 02:26Leo ni Jumatano tarehe 3 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili Pili mwaka 2025.
-
Ujue Mfumo wa Kisasa wa Iran wa Bavar 373 uliotumika kuzima hujuma ya Israel
Nov 03, 2024 09:41Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika Makala hii ambayo huangazia baadhi ya matukio muhimu ya sayansi nchini Iran na maeneo mengine duniani. Leo Makala yetu maalumu itaangazia mfumo wa kujihami angani wa Iran ujulikanao kama Bavar 373 ambao uwezo wake mkubwa umewashangaza wengi duniani.
-
Yajue makombora ambayo Iran iliyatumia katika ‘Operesheni ya Ahadi ya Kweli II’ dhidi ya Israel
Oct 07, 2024 17:13Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya mafanikio katika uga wa sayansi, tiba na teknolojia nchini Iran na leo tutaangazia mafanikio ya Iran katika uga wa ulinzi.
-
Jumapili, 04 Agosti, 2024
Aug 04, 2024 02:24Leo ni Jumapili 29 Mfunguo Nne Muharram 1446 Hijria, mwafaka na tarehe 4 Agosti 2024
-
Jumapili, 28 Januari, 2024
Jan 28, 2024 02:32Leo ni Jumapili 16 ya mwezi Rajab 1445 Hijria mwafaka na 28 Januari 2024 Miladia.
-
Kuongezeka idadi ya watu wanaotumia intaneti duniani mwaka 2023
Dec 28, 2023 09:31Karibuni wasikilizaji wapendwa wa Idhaa ya Kiswahili Redio Tehran katika kipindi chetu cha makala ya wiki ambapo tutatupia jicho ongezeko la watumiaji wa intaneti duniani mwaka 2023.
-
Jumamosi, 16 Disemba, 2023
Dec 16, 2023 02:51Leo ni Jumamosi tarehe Pili Mfunguo Tisa Jamad Thani 1445 Hijria mwafaka na tarehe 16 Disemba 2023.
-
Jumapili, 03 Disemba, 2023
Dec 03, 2023 02:30Leo ni Jumapili 19 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1445 Hijria mwafaka na tarehe tatu Disemba, 2023 Miladia
-
Ulimwengi wa Spoti, Nov 27
Nov 27, 2023 05:56Natumai u mzima wa afya popote pale uliopo mpenzi msikilizaji. Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali za dunia.